Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Duh, acha vyuma viumane aiseeThe Sinaloa cartel gave the Mexican government an ultimatum. If Ovidio, El Chapo's son, is not released within 72 hours, gas stations and government buildings will be burned. The cartel fears Ovidio's extradition to the US.
Pablo Escobar alitaka alifute kabisa deni la taifa, rais akakataaHawa wauzaji madawa wanaweza kulipa deni la Taifa
Wana nguvu kiasi cha kuwa na jeshi mpaka submarines
Huyo alikuwa balaa na angekuwa hata mayor au Rais ila walikataa kwa hela chafuPablo Escobar alitaka alifute kabisa deni la taifa, rais akakataa
Nafikiri wana uhusiano mkubwa kiasi cha wao CIA kuwa na uwezo wa ku control iingie kiasi gani sokoniHakuna drug kingpin anaekamatwa bila USA kuhusika. Kuna uhusiano complex sana kati ya CIA na Drug cartels. Sio marafiki wala sio maadui.
True kabisa brother, CIA involvement is deep in this shit and some of that dirty money zinatumika kurun off-the-book blackops.Nafikiri wana uhusiano mkubwa kiasi cha wao CIA kuwa na uwezo wa ku control iingie kiasi gani sokoni
Huwa nashangaa hata hapa [emoji636] wanakumbia kuna kiasi gani kipo na thamani yake katika soko la ndani
Hii ni biashara ya wakubwa na inakuza uchumi haswa
Waafrika kila kitu tunaambiwa haram wakati wenzetu ndio mzunguko wa hela nchini
Wana akili sana
Umesema ukweli kabisa kuwa hii ni biashara ya wakubwaTrue kabisa brother, CIA involvement is deep in this shit and some of that dirty money zinatumika kurun off-the-book blackops.
Kwa baadhi ya nchi za South and Central America, drug cartels ni alternative tools za CIA. Nchi isipo-align na US interests cartels zinatumika ku-destabilize na kupush interests. Na at times cartel wasipo-align na CIA interests wanakumbana na mkono wa chuma kma hii ya dogo wa El Chapo.
Crazy world out there!
Shida sio wahuni! Shida ni kua wahuni wana mpunga mkubwa afu wamejijenga kijeshi wana siraha za kisasa na jeshi binafsi mbali na kununua baadhi ya maafisa muhimu kabisa wale wa serikali na kijeshi... So wamejiwekea protective layer kwenye maisha yao..Ina maana serikali ya Mexico imezidiwa nguvu na wahuni ?