Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale bwawani alikufa Stewart mwaka 1981Ukipita buibui guest house unashuka chini ,kajenga bwawanii .....sjui kibali pale alikipate cha ujenzi
Sema wakati wa mvua anaipataga tabu sana
Ova
Pale huwa kuna kama bwawa.Ukipita buibui guest house unashuka chini ,kajenga bwawanii .....sjui kibali pale alikipate cha ujenzi
Sema wakati wa mvua anaipataga tabu sana
Ova
Pale yenyewe kajenga sehemu siyoPale huwa kuna kama bwawa.
Anajifanya anafuata sheria sana kumbe wale wale.
Unafiki kitu kibaya sana.
Abomoe kwanza nyumba yake ndio aanze kuwafukuza hao kina dada.Pale yenyewe kajenga sehemu siyo
Uswahili uswahili mwingi huyu tu
Ova
Nimecheka sana nilivomuona songoro hapo, songoro mtoto wa mwananyamala anapajua vizuri hapo mi naona kama maigizo tuMwenyewe anaishi maeneo ya pale meridian (masai club) asivunge itakua kawapitia tu.
Masikini Tanzania wanaonewa sana kwenye kila nyanja!!Wanawaonea hawa sababu ni hoe hae wateja wap sio mabosi wa huyu meya!
Kuna chimbo pale mtaa wa Simba Bahari Beach karibu na Bajeti inn ni danguro la wanene,bila laki 2 huchukui mrupo na magari ya bei yanasimama hapo
Lile huwezi ligusa,wanaonea hawa maskini
Umenikumbusha mbali sana. Cheza sana mitaa hiyo. Umenikumbusha pia BuiBui mtoto wa Kino.Ukipita buibui guest house unashuka chini ,kajenga bwawanii .....sjui kibali pale alikipate cha ujenzi
Sema wakati wa mvua anaipataga tabu sana
Ova
Na ni maigizo tu. Anachekesha sana Aisee!Nimecheka sana nilivomuona songoro hapo, songoro mtoto wa mwananyamala anapajua vizuri hapo mi naona kama maigizo tu
Acha kununua malaya ni uchafuMbona unatujumlisha watu wa Dar wote ilhali hii biashara ni world-wide? Na kama ni uchafu mbona hata wewe ni mchafu kama unabisha tia kidole njia yako ya haja kubwa halafu nusa usikie kama kuna harufu ya udi.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kuna miaka fulani tulupambana sanaAbomoe kwanza nyumba yake ndio aanze kuwafukuza hao kina dada.
Mkuu, hapa mahali pamenimaliziaga sana hela yani [emoji2], kipindi hicho nasoma Law School 2015.Dah kuna chimbo moja lilikuwa linaitwa Tururamba kule SIM2000 karibu na Law School nilipelekwagwa na mwana flani kunywa beer ni nyumba ya mtu watu wamekaa sebuleni kidirishani ndio vinywaji vinauzwa nikajua ni wanafamilia ila nashangaa mijamaa inazama sebuleni inachukua mwanamke wanaenda vyumbani.
Kumbe ndio danguro.
Hahaha ni noma, nilienda hapo hiyo siku tu sikuwahi kwenda tena ila sijapasahauMkuu, hapa mahali pamenimaliziaga sana hela yani [emoji2], kipindi hicho nasoma Law School 2015.
Kama sikupata HIV kipindi kile basi sipati tena wallah.
Ila huyu Mungu ni mvumilivu sana, na upendo wake ni halisi kwetu wanadamu. Kwa ule uchafu nilioufanyaga, kama Mungu angekuwa mwanadamu basi ningekuwa marehemu sasa hivi.
Wakati wa mvua inabidi aweke pump ya kuvuta maji masaa 24 [emoji1]Abomoe kwanza nyumba yake ndio aanze kuwafukuza hao kina dada.
Hapo yenyewe ukipita getini kwake ukikunja kulia unaenda kama unataka kutokea mahakama ya kino kna vijumba kuna wanawake wanauza mbunye kitambo tu [emoji1]Umenikumbusha mbali sana. Cheza sana mitaa hiyo. Umenikumbusha pia BuiBui mtoto wa Kino.
Aisee kweli kabisa. Hilo chimbo wabishi ndio wanalielewa kwa chini saana.Hapo yenyewe ukipita getini kwake ukikunja kulia unaenda kama unataka kutokea mahakama ya kino kna vijumba kuna wanawake wanauza mbunye kitambo tu [emoji1]
Hebu aawaache wenzao wafanye kazi zao kama anataka wawaboreshe mazingira
Ova