Meya afika kwenye madanguro Mwananyamala, Wadada wanaojiuza wakimbia

Aisee inasikitisha sana na kuumiza kuona maeneo ya wazi ya kubariza na watoto kucheza watu wakiyabadilishs matumizi kinyemela . Noma sana.
 
Aisee inasikitisha sana na kuumiza kuona maeneo ya wazi ya kubariza na watoto kucheza watu wakiyabadilishs matumizi kinyemela . Noma sana.
Sijui kama yatapona sahivi

Ila shauri zao watajuana wenyewe huko

Ova
 
Wanaacha ku deal na wauza unga, vibaka na wezi wa fedha za umma wanafuata watu majumbani mwao, watu wanawakirimu wageni wao.
Wamejuaje kwamba humo ndani watu hufanya ngono?
Uchafu umejaa kinondoni meya baada ya kushindwa ku address real issues anawazonga watu waliokua majumbani mwao.

Mwisho. Huyu meya wa michongo anategemea wateja wa hao kinadada watapata wapi hiyo huduma.
People don't even see tomorrow.
Prostitution is the oldest proffesion and has been in existence since time immerorial.
Ajue tu ameanza kazi ambayo hataimaliza.
 
Huyo meya si alisema serikali imeshindwa kudhibiti hiyo shughuli bora ihalalishwe
 
Kuna mteja mmoja anaohojiwa na mwandishi wa ITV eneo la tukio,

Mwandishi : Habar kaka?
Jamaa. : Nzuri
Mwandishi. : Wewe ni mteja hapa?
Jamaa. Ndio
Mwandishi. : Kuna changamoto yyte unayokutana nayo kutokana na hii biashara ya dadapoa?

Jamaa. : Ndio
Mwandishi : Ipi hiyo?
Jamaa. : Changamoto ni kwamba ukiwa huna pesa hupati huduma ( kutomber)[emoji23][emoji23][emoji23]

"Meya na hili mkalitizame"
 
Mpuuzi sana utagegedaje bila vyako[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Willing seller willing buyer,yeye inamuhusu nini.
Kuna wengi jijini watu hawana wake anategemeawa wakajisaidie wapi?
 
🤣🤣🤣🤣🤣 We jamaa hatari
 
Akili yako na ya huyo mteja Ni mbovu.
Kwani bar ukiwa huna pesa unahudumiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…