Meya Jackob akumbuka CCM ilivyowafadhili yeye na viongozi wa CHADEMA, akiwemo Mbowe, iliwahifadhi katika Ofisi zao wakati wa mauaji ya Akwilina

Sisi hatujawahi kuwa chini ya utawala wa shetani labda wewe peke yako. Walio chini ya utawala wa shetani ni kama yule jamaa yenu anayeshikishwa ukuta kule ubeleji, huyo ndiye yuko chini ya utawala wa shetani.
2015-2021 Tanzania ilikuwa chini ya utawala wa shetani, Mungu katuondolea shetani furaha imerejea, sio tu kwa upinzani bali kwa CCM pia, wote wanaimba, Mungu fundi, kamaliza ugomvi, bahari imetulia..hutaki kajinyonge
 
Wewe ni mfuasi wa Kayafa?
 
uliyeandika umeongeza yako.Et wakati wanataka kuvuruga aman.Nani kakwambia siasa ni uadui?Kuna iman na undg hulinda mtu dhidi ya ukatili tuna ndg cuf,ccm,chadema na vyama vingine.
 
Aisee! Hii asali imezidi sana!!!
 
Hv CDM wamerogwa ama!!?
huu mwenendo wao unatia shaka sana
kabla Mbowe hajashtakiwa na ugaidi every minute every second alikuwa anazungumzia katiba mpya. Siku hizi simsikii tena!!??
Ama ndio asali kunoga!
 
Mbowe sikuizi anatembea na mchupa umejaa asali tu anajilambia huku anapiga mrusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hivi kesha pata kazi ya KUPAMBANA NA MAREHEMU
Hivi ni kweli herufi Z ni bidhaa adimu sana Uheheni?
 
Kuandamana bila Kibali ni kuvuruga amani ya watu wengine na nchi
uliyeandika umeongeza yako.Et wakati wanataka kuvuruga aman.Nani kakwambia siasa ni uadui?Kuna iman na undg hulinda mtu dhidi ya ukatili tuna ndg cuf,ccm,chadema na vyama vingine.
 
K
Hii nchi ilikuwa chini ya utawala wa shetani.

sio CCM wote wana roho mbaya, ila kiongozi wao mkuu anapokuwa na roho mbaya anaathiri sana
Hapana roho ya yyule mwendzake kwa ubaya shetwaaani ana afadhali
 
Kwa hiyo CCM iliwaokoa dhidi ya nini?
 
Hasa sukuma gang inabidi nchi iwe makini wasije kupewa nafasi ya uongozi anadani
 
kwahiyo hujawahi ona wakristo wanaandamana ktk sherehe ya matawi?
Lazima wapate Kibali Cha Polisi, lengo la Kibali ni kufanya wasiingilie haki za watanzania wengine katika maeneo watakayopita, na pia uwepo ulinzi
 
tukisema njaa mbaya wengine hawaelewi.

jiwe atatupiwa kila aina ya lawana as long as inamfurahisha chief hangaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…