mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Hapa umechemka bwashee, pale mwenge stendi pana kanisa kubwa sana kuliko hata huo msikiti,na hakuna muislamu alilalamika wala kusema eti nimesikia au nimeonaNasikia nako stendi mpya ya Mwenge kuna bonge la msikiti
Nimechemka kwamba hakuna bonge la msikiti ndani ya kituo au...?Hapa umechemka bwashee, pale mwenge stendi pana kanisa kubwa sana kuliko hata huo msikiti,na hakuna muislamu alilalamika wala kusema eti nimesikia au nimeona
Ujinga huu wa kuendekeza dini na imani za watu wasiotuhusu ndiyo umetufanya Waafrika kuwa wajinga mpaka leo hii. Unajenga msikiti kwenye eneo la starehe ili iweje, kwamba Waafrika wasiojitambua wawe karibu na majini wa baharini au?Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipangp mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujemgwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi
Hakuna anayekataa watu kuswali lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokua awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji huduma hiyo
View attachment 2950662
Haya maneno yameniumiza sana. Allah amlipie kisasi Mke wa Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake), Mama yetu 'Aaisha (Radhi za Allah ziwe juu yake), ambaye ni katika wabora wa wanawake wa Ummah huu. Mwanamke mwema msafi ambaye Allah alimtakasa katika Qur'an. Alikuwa katika bora ya wanachuoni miongoni mwa Maswahaba wa Mtume (Radhi za Allah ziwe juu yake).Yani Shia hawampendi Bi Ayesha mke wa mtume wa Mungu kwasababu alikuwa kahaba anagongwa hovyo hovyo. Licha ya Bi Ayesha kugongwa group sex alikuwa akioga uchi na hadharani mbele ya wanaume.
Kwamba umeuona msikiti tu?Nimechemka kwamba hakuna bonge la msikiti ndani ya kituo au...?
Kweli coco ni ya manji sio kwa zama za sasa usishangae jamaa akaitwaa tena maana mwendazake alimpokonya TIGO NA COCO.
Tena sana utadhani vijiniSana
AminHaya maneno yameniumiza sana. Allah amlipie kisasi Mke wa Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake), Mama yetu 'Aaisha (Radhi za Allah ziwe juu yake), ambaye ni katika wabora wa wanawake wa Ummah huu. Mwanamke mwema msafi ambaye Allah alimtakasa katika Qur'an. Alikuwa katika bora ya wanachuoni miongoni mwa Maswahaba wa Mtume (Radhi za Allah ziwe juu yake).
Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) alimpenda sana. Mama wa Waumini, Mwanamke mtukufu binti wa Mbora wa watu baada ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) yaani Abu Bakar Swiddiq (Radhi za Allah ziwe juu yake). Mama wa Waumini ambaye Allah alijaalia Mtume wake afie mikononi mwake na azikwe chumbani kwake.
Radhi za Allah ziwe juu yake. Yuko mbali na uliyomtukana nayo. Namuomba Allah amlipie kisasi Mama yetu.
Nenda katika ignoring list yangu, sitaki kukuona popote wewe shaytwaan wa kibinaadamu, kafiri najisi. Allah akuongoze au auvunje mgongo wako.
AmeenHaya maneno yameniumiza sana. Allah amlipie kisasi Mke wa Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake), Mama yetu 'Aaisha (Radhi za Allah ziwe juu yake), ambaye ni katika wabora wa wanawake wa Ummah huu. Mwanamke mwema msafi ambaye Allah alimtakasa katika Qur'an. Alikuwa katika bora ya wanachuoni miongoni mwa Maswahaba wa Mtume (Radhi za Allah ziwe juu yake).
Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) alimpenda sana. Mama wa Waumini, Mwanamke mtukufu binti wa Mbora wa watu baada ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) yaani Abu Bakar Swiddiq (Radhi za Allah ziwe juu yake). Mama wa Waumini ambaye Allah alijaalia Mtume wake afie mikononi mwake na azikwe chumbani kwake.
Radhi za Allah ziwe juu yake. Yuko mbali na uliyomtukana nayo. Namuomba Allah amlipie kisasi Mama yetu.
Nenda katika ignoring list yangu, sitaki kukuona popote wewe shaytwaan wa kibinaadamu, kafiri najisi. Allah akuongoze au auvunje mgongo wako.
Kwamba maeneo yote yameisha hadi pajengwe nyumba ya Ibada pale! Miafrika bhana, hovyo kabisaKwa hiyo wanaoenda Coco beach wakati wa swala waswali wapi?
Siku aliingia "Wamakabayo" kichaa misikiti yote hiyo itabomolem
Msikiti ni sehemu ya huduma ya jamii japokuwa inawahusu Waislamu zaidi, ww hujiulizi kwa nini Posta, Kariakoo, Mnazi mmoja, UPANGA na Muhimbili misikiti ni mingi kuliko makanisa kwani Serikali ni ya KiislamuSiku aliingia "Wamakabayo" kichaa misikiti yote hiyo itabomolewa.
Kwani hakuna misikiti karibu ushawahi jiuliza wanaoenda uwanja wa Benjamin mkapa huwa wanaswali wapi?Kwa hiyo wanaoenda Coco beach wakati wa swala waswali wapi?
Wakristo ibada yenu ni mara moja kwa wiki wenzenu Waislamu ni mara5 kwa siku hvyo lazima wao wasogezewe huduma kwa karibu zaidiKwamba maeneo yote yameisha hadi pajengwe nyumba ya Ibada pale! Miafrika bhana, hovyo kabisa
Kama upo msikiti karibu na Coco beach tuambie upo sehemu ganiKwani hakuna misikiti karibu ushawahi jiuliza wanaoenda uwanja wa Benjamin mkapa huwa wanaswali wapi?
Hawezi kwani hiyo ni sehemu ya huduma, stendi ya Magufuli mbezi kuna msikiti, stendi ya mwenge kuna mckitiSiku aliingia "Wamakabayo" kichaa misikiti yote hiyo itabomolewa.
Kama haupo basi wangenunua ardhi karibu na cocobeach sio kujenga kwenye eneo la wazi.Kama upo msikiti karibu na Coco beach tuambie upo sehemu gani
Ndio umeshajengwa wewe ulitaka lijengwe kanisa?Haikataliwi kutenga sehemu za kuabudu … lakini kujenga jengo la kudumu ni kuja kutafuta matatozo baadaye kwani wote pale wameambiwa wajenge majengo ya muda
Kwa nini waende Beach wakati wa swala? Kuna maofisi pale wafanyakazi wakaswali wapi, na unalazimisha Waislamu waende beach baada ya saa 10 kuswali Alasiri na waondoke kabla ya swala ya Magharibi kwa hiyo wakae beach masaa ma2 tu
Mwamposa akitoka kawe naye atahamia hapoNdio umeshajengwa wewe ulitaka lijengwe kanisa?
Kuna maofisi
Wameenda kufanya nini?Kwa hiyo wanaoenda Coco beach wakati wa swala waswali wapi?
Wameenda kufanya nini?