Tetesi: Meya Mstaafu Boniface Jacob wa CHADEMA kiongozi mgomo Kariakoo?

Wafanya biashara Kariakoo kumbe wanaongozwa kwa remote na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Mmeshaharibu upepo!

Mgomo unafadhiliwa na “matajiri wa ccm” ambao wao wanajua TRA ikisimamia utaratibu biashara itaharibika …asimia 80% ya vitu vinavyouzwa na watu wasiotoa risiti kariakoooo vinatoka kwenye magodown ya hao …
Sasa Kusuka au Kunyoa ……CCM waambie wafadhili wao chini ya Abudulrahman Kinana waache kutumia mgongo wa migomo …. Walipe kodi wakilipa na ili kina kabwela nao walipe ….

Msipoteze watu maboya kwa kuwasingizia chadema …wafanyabishara sio wanasiasa
 
Hata jana Majaliwa ni unafiki tu lakini anajua ni kina nani wanafadhili huo mgomo ili kufanya TRA isifanye kazi ….Mkuu wa Mkoa anajua …..na Mwigulu anajua

Muheshimiwa rais hatatoboa kwa kutegemea watu wenye political ambition kuwa waziri wa fedha lazima atakula na hao wakubwa wanaoleta mizigo na wachina
 
Kuna Ushahidi wowote Meya Mstaafu kuhusika?

2025 Loading .........








Boniface Jacob

@ExMayorUbungo
·
May 16
Ni uoga au kapozwa...? Sisi hatukumfuata kumuomba atugomeshe,Bali yeye ndiye alituita kikao na kututaka tugome. Kauwasha Moto ambao kashindwa Kuuzima sasa anataka kutuchoma tukamatwe ,Tushitakiwe na kufilisiwa. USALITI KILA SEHEMU
 
Duh siasa ni hatari, kila mahali Wanafanya Siasa.

Kuna wakati ilipigwa Siasa hadi Madaktari waligoma na kusababisha Wagonjwa wengi wapoteze maisha.

I real hate this 😒
 
Du. Jamaa wewe mbona kichwani kweupe namna hiyo! Yaani aseme fungueni maduka acheni ujinga? Hicho wanachodai ni ujinga? Mbona watanzania tunakuwa na mawazo ya kitumwa namna hii! Migomo ni halali na ipo duniani kote. Ni njia rasmi ya kudai haki pale unapoona umeikosa. Anyways, elimu yetu nayo ni majanga hivyo nisikulaumu sana.
 
Mimi nimemtaja Boniface Jacob wa Chadema anayefanya biashara Kariakoo.
Usiwe mnafiki wataje hao wafanya biashara wa CCM.
 
Kwenye somo la Semantics ni kama unasema Chadema wameingilia mgomo wa CCM! Kama ni hivyo ni sawa tu make mbogamboga nao waliingilia sherehe za wafanyakazi,Mei Mosi
 
Katika maswala kama hili la kulipa/kutolipa kodi sijui ni nani anakomolewa hasa.
Mimi naona kama pande zote mbili wasipoafikiana watakuwa wamekomoana.

Maswala ya kulipa kodi yanahitaji taratibu nzuri zinazoeleweka tu vizuri na kila upande utimize vyema taratibu hizo kama zilivyopangwa.

Mswala ya siasa kuingia kati ni dalili tosha kwamba taratibu zilizopo siyo nzuri.
Ni wazi, siasa huingia popote panapoonekana pana ombwe linalohitaji kujazwa. Ni fursa kwa upinzani kutumia mianya kama hiyo. Ndiyo maana ya upinzani.
 
Wafanya biashara Kariakoo kumbe wanaongozwa kwa remote na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Mmeshaharibu upepo!

Wafanya biashara Kariakoo kumbe wanaongozwa kwa remote na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Mmeshaharibu upepo!
Haijalishi nan yupo behind kikubwa wafanya biashara wana hoja, wasikilizwe!! Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…