Tetesi: Meya Mstaafu Boniface Jacob wa CHADEMA kiongozi mgomo Kariakoo?

Wafanya biashara Kariakoo kumbe wanaongozwa kwa remote na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Mmeshaharibu upepo!
Aisei! Mbaya sana kama nikweli. Huu ni uhujumu uchumi! Haikubaliki.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Wafanya biashara Kariakoo kumbe wanaongozwa kwa remote na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Mmeshaharibu upepo!

Wafanya biashara ni sisi wewe hata tin no humiliki
Uyo meya tunamsikia kwako
Hakuna mwanachadema wala mwanaccm
Yeyote anaefanya biashara hasa ya kuuza jumla kariakoo au anamiliki hata jengo lazima afanye mgomo hata kimya kimya kwenye nafsi yake
Hili swala linawagusa wote
Hata zungu ni chadema…?
 
Ni kwa vile upeo wako ni mdogo sana.
Ungejua kuwa hilo swala la kodi za Kariakoo, hata TPSF(Tanzania Private Sector Foundstion) inalipigia kelele, wala usingesema kitu.
 
Uzuri wa hii issue ni kwamba imeanzishwa na wafanyabiashara wenyewe, hao wapinzani wamedandia tu.

Kwa hivyo watawala wakidindisha, watakuwa wanapingana na wafanyabiashara, si wapinzani.
Kukiri wapinzani kudandia, naona ni tatizo lingine linalojitegemea kwa upinzani wetu..
 
Unatumia nguvu kubwa lakini huwezi utenga huu mgomo na CHADEMA






 
Wewe jamaa Kiranga ungekuwa kiongozi hapa nchini,naamini ungefanya mengi makubwa kwa nchi, ujengaji hoja wako ni wa nnje ya box na hata pale pasipo na box at all.
Ubarikiwe sana.
 
BJ toka chuoni....yeye ni maandamano tu.....[emoji1787]
 
Utaacha lini kuota weee ? Mbowe anaingiaje sasa kwenye mambo ya kariakoo? Sometimes ina kera sana mtu mzima kujawa na chuki na kusambaza uongochana kutwa bila kuwa na ushahidi wowote
Migomo ya madaktari
Migomo ya vyuo vikuu
 
Hivi Vunjabei ndiye Boniface Jacob, jijibu mwenyewe!
Wewe thread yako ya udaku kumtaja Boniface na CHADEMA mtu mwenye akili timamu ni lazima aelewe kuwa ulidhamiria kuonyesha kwamba mgomo unaratibiwa na CHADEMA kwa lengo fulani! Sasa ndio nakuuliza Vunjabei aliyetoa kero zake ambazo bila huo mgomo asingeziibua ni CHADEMA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…