Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Mwananyamala kwa Wahaya since 1978 hadi leo wapo na wanaongezeka!
Huwezi kukusanya kodi kwenye chanzo haramu,hilo hata yeye anajua,anakuwaje yuko sahihi wakati anajua utamaduni na ustaarabu wa Tanzania hauruhusu na yeye ni Kiongozi? kusema Serikali imeshindwa kudhibiti kwahio iruhusu huo ni uhuja,kesho watasema serikali imeshindwa kudhibiti ujambazi kwahio tuwaruhusu?Kukusanya kodi kwenye chanzo kipya sio lazima uwe umekosa hela.
Fikiri upya na uweke siasa pembeni, Meya yuko sahihi sana ila mkwamo utakuja kwenye ule utamaduni wetu wa ustaarabu na hatukuwahi kufanya jambo kama hili.
Mambo ya Serikali kuishiea au kutoishiwa hayana maana hapa.
Ndo kwanza tunapambana na kurasimisha wafanyabiashara rasmi kidigitali wasiweze kukwepa kodi, malaya tutawaweza vp? Unathibitisha vp kuwa hapa anatoa huduma kwa mpenzi na hapa anauza? Labda utenge maeneo rasmi ya kuwauza na kwa watz tulivyo wanafiki hutaona mteja hata mmona ila watauziana, serikali itakutana na condom tu zilishatumika.Hiyo ni too primitive
Ikifikia hatua Serikali ikahitaji kukusanya kodi itatafutwa namna ya kuchaji kodi digitally na watoza kodi watajifunza kwenye nchi ambazo tayari zinatekeleza hili jambo.
Hela ya hapo ni nje nje alaf ni uhakika sana[emoji23][emoji23]
Sijaelewa unamaanisha nini?Kwa wanawake, huo nao ni mkakati.
Kuna wajeda wakitoka mazoezi.
Kuna polisi wakitoka kusanya za leo leo.
Kuna vibarua wamwaga zege.
Maisha yanaendelea.
Halafu wakristo wahame nchi? Wazo la kishamba sana. Hayo mawazo mengine sawa.Serikali si washikaji wenzetu.
Swala dogo sana kukomesha ukahaba kwanza kuna njia mbili hapa naziona.
Nchi iongozwe kwa misingi ya dini ya kiislamu.
📌 wakristo ..... sijasema wakristo waameHalafu wakristo wahame nchi? Wazo la kishamba sana. Hayo mawazo mengine sawa.
Ufipa st mmeifurahia sana!Meya hana baya na mtu.
Kwani huwa anapambana nayo wapi? aache fix......Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni amesema Wameshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba hivyo Wataomba Ihalalishwe na Wasajiliwe Kabisa
Source Jambo TV
Sirikali Ni ccmSerikali ni nini?!
Ngoja ninyamaze maana huenda nikakujibu kumbe mwenzetu unaishi United Republic of Paradise!serikali huwa inashindwa jambo?
Mkuu,Serikali ni Binadamu sio Mungu,hata Serikali za mataifa makubwa kuna mambo mengi tu bado wanahangaika nayo na hakuna dalili ya kuyamaliza,Hivi kwa akili ya kawaida serikali huwa inashindwa jambo? Hayo ni maneno yake binafsi, huenda na yeye ni mteja, nashauri 2025 apumzike awaachie kazi wanaoweza