🤣🤣🤣🤣Bora wahalalishe!Wachukue na kodi ili tuache kubanana na kodi sisizo na kichwa wala miguu!Pia wakihalalisha wakague na viwango kama vinaendana na bei,mambo ya kuuziwa elfu50 halafu ukifika ndani **** mdebwedo,utamu hamna,harufu kama panya kafa hatutaki.
Kodi za ukahaba 🤣🤣Bora wahalalishe!Wachukue na kodi ili tuache kubanana na kodi sisizo na kichwa wala miguu!Pia wakihalalisha wakague na viwango kama vinaendana na bei,mambo ya kuuziwa elfu50 halafu ukifika ndani **** mdebwedo,utamu hamna,harufu kama panya kafa hatutaki.
Bashe si alisema mali za watu Siyo za umma?Bora wahalalishe!Wachukue na kodi ili tuache kubanana na kodi sisizo na kichwa wala miguu!Pia wakihalalisha wakague na viwango kama vinaendana na bei,mambo ya kuuziwa elfu50 halafu ukifika ndani **** mdebwedo,utamu hamna,harufu kama panya kafa hatutaki.
Badala ya kusimamia maadili yeye kwa fikra zake anataka kuhalalisha haramu!!??Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni amesema Wameshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba hivyo Wataomba Ihalalishwe na Wasajiliwe Kabisa
View attachment 2528343
Chanzo: Jambo TV
Hivi kwa akili ya kawaida serikali huwa inashindwa jambo? Hayo ni maneno yake binafsi, huenda na yeye ni mteja, nashauri 2025 apumzike awaachie kazi wanaoweza
Serikali huwa inashindwa, hata nchi kubwa super power kuna mambo inashindwa.Hivi kwa akili ya kawaida serikali huwa inashindwa jambo? Hayo ni maneno yake binafsi, huenda na yeye ni mteja, nashauri 2025 apumzike awaachie kazi wanaoweza
Mkuu kwa sikio la tatu hiyo kauli ni ya Songoro, Meya mwenye kujua wajibu wake akitumia vizuri vyombo vyake vya kazi hawezi kudeclare ameshindwa hiyo ndiyo hoja yanguMkuu,Serikali ni Binadamu sio Mungu,
Nimemshangaa sana mdau ambaye alishikwa na mshangao serikali kushindwa mambo!!P
Mkuu,Serikali ni Binadamu sio Mungu,hata Serikali za mataifa makubwa kuna mambo mengi tu bado wanahangaika nayo na hakuna dalili ya kuyamaliza,
Mambo kama Ugaidi,wizi,mauaji...bado vinaisumbua Dunia.
Mkuu inaonekana umeathirika na ugonjwa wa Politicsmithithi unapenda kudanganywa!!...Bora huyu mwanasiasa lkn amenyooka kusema ukweli!!!hawezi kudeclare ameshindwa hiyo ndiyo hoja yangu
SERIKALI ya AJABU SANA IPO SIKU SERIKALI ITASEMA IMESHINDWA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA hivyo WAUZAJI WAPEWE "LESENI"Hivi kwa akili ya kawaida serikali huwa inashindwa jambo? Hayo ni maneno yake binafsi, huenda na yeye ni mteja, nashauri 2025 apumzike awaachie kazi wanaoweza
UKWELI upi,Mkuu inaonekana umeathirika na ugonjwa wa Politicsmithithi unapenda kudanganywa!!...Bora huyu mwanasiasa lkn amenyooka kusema ukweli!!!
[emoji28][emoji28]Meya anaonaje PANYA road wakisajiliwa kabisa wawe wanalipa Kodi maana ni kama wameshindikana.
Kusajili makahaba ni kukusanya UJIRA wa MBWA.
Kahaba ni mbwa.
Enyi viongozi vipofu, nani atawaponya na upanga ulionyooshwa juu yenu?
Mahojiano ya afisa wa kodi na kahaba.
Afisa: Mfumo unaonyesha unadaiwa kodi.
Kahaba: Biashara mbaya, mauzo yamepungua njoo eneo la biashara ujiridhishe mpenzi.
Kamwe huwezi kukubali ya kwamba umeshindwa kupambana na haramu.Ni ngumu sana hii kama ilivyo biashara ya madawa ya kulevya.
Kwani hawajashindwa kudhibiti ukahaba?UKWELI upi,
Wazazi kwann wapeleke watoto wa kike shuleni kupoteza muda wakati UKAHABA utakuwa ni Ajira rasmi?
Serikali haitakuwa na haja tena kusajili NDOA, sababu UKAHABA utakuwa na ujira mkubwa kuliko NDOA.
Hivi mmelaaniwa na nani kizazi hiki?
😀 Kuna mambo ni ngumu kuyasimamia mkuu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kwenye nchi zinazoongozwa kwa misingi ya dini ya kiislamu kamwe hakuna makahaba?.Serikali si washikaji wenzetu.
Swala dogo sana kukomesha ukahaba kwanza kuna njia mbili hapa naziona.
Nchi iongozwe kwa misingi ya dini ya kiislamu.
Au wafunge bar, casino,club, saloon zenye huduma ya massage nadhani hapa watakuwa wamefika hata asilimia 70.
Serikali haiwezi kusema imeshindwa kuthibiti ukahaba ilo nakataa kabisa sema kwakuwa wanunuzi nao wako serikalini inakuwa ngumu sana kuwa na mikakati thabiti.
[emoji419] Jiulize hao makahaba pindi wanapokamatwa mbona wanaonga pesa na wanatolewa. Afu kufanya kazi ya ukahaba ni upungufu wa MAARIFA afu akili chenga.
[emoji419] Wasichana wanatoka mikoani kuja dar kufanya shughuri za ukahaba mwingine anakuja kujificha bar kwa ni mhudumu wa bar kumbe anauza sangara.
Wanakataa kuuza karanga wanaona wauze miili yao .