Meya Songoro: Tumeshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba, tutaomba ihalalishwe wasajiliwe

Nani aliyeweza kupamba na makahaba?
Kumbuka hakuna sheria inayokataza mtu kujiuza ndio maana wanafunguliwa makosa ya uzururaji.

Ni rahisi zaidi kudhibiti kwa kutenga maeneo maalumu kuliko Sasa inavyofanyika holela kati kati ya makazi ya watu.

Mfano: Kigamboni ikawa ni red zone with red lights na makahaba kupewa leseni watakazo lipia, kupimwa hali zao kiafya wanapotaka kila baada ya muda fulani.

Kulipa Kodi na kulinda ujasiliamwili kwenye maeneo tengefu
 
Tofautisha Ushoga na hili linalozungumzwa hapa
 
Jamii yetu haijafika huko mnakolazimisha tuende. Eboo. Bongo kuna ukahaba au maigizo tu !!?
Wawezeshe kwa mitaji hao wanawake unaoita makahaba kama utawaona huko
 

Pombe ni halali?sigara ni halali? Na mbona wanakusanya kodi nyingi tu,uhalali na uharamu wa kitu ni mitazamo binafs tu ya jamii husika,
 

Watafungiwa kifaa maalumu kwenye k,kinaitwa pussyefd au pussyspedometer.
 

Una element za kigaidi chunga sana hii nchi sio iran.
 
Kama Serikali iliweza kudhibiti Magaidi wa Kibiti,

Ishindwe vp kuzuia UKAHABA?

Kama viongozi wameshindwa wapishe Ili waje watakaoweza!!

Tofautisha magaidi na makahaba,mana hata mkeo ndani anaweza kiwa kahaba,pia hao polisi ndio wanaokula mizigo,ukute hata mawaziri na viongozi wakubwa wanapata huduma kutoka kwa makahaba,hii vita huwezi shinda hata siku moja,
 
Hapo kwenye ukaguzi ndipo patageuka neema kwa wale Wazee wa mtelezo kama akina "Mzabzab na Mzee wa kupambania" [emoji1]
 
Meya anaonaje PANYA road wakisajiliwa kabisa wawe wanalipa Kodi maana ni kama wameshindikana.

Kusajili makahaba ni kukusanya UJIRA wa MBWA.

Kahaba ni mbwa ktk Roho.

Enyi viongozi vipofu, nani atawaponya na upanga ulionyooshwa juu yenu?
nini maana ya kahaba ni mbwa ktk roho, mkuu Rabbon ?
 
Wtf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! I laughed Soo hard. You're right anyway.
 
Mahojiano ya afisa wa kodi na kahaba.

Afisa: Mfumo unaonyesha unadaiwa kodi.
Kahaba: Biashara mbaya, mauzo yamepungua njoo eneo la biashara ujiridhishe mpenzi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ This thread is crazy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…