Meya wa Jiji la Dar kuzindua kinachoitwa 'Chawa wa Mama'

Meya wa Jiji la Dar kuzindua kinachoitwa 'Chawa wa Mama'

Huwa nikifananisha Mayor wa duniani na wa kwetu naona hata udereva asingepewa
Hebu angalia nguvu za Mayor wa majiji makubwa na kazi zao halafu anakuja mwingine kwa cheo hicho hicho anaandaa upuuzi huu

Poleni sana
Screenshot_20230112_153943_Google.jpg
Screenshot_20230112_153745_Google.jpg
Screenshot_20230112_154124_Google.jpg
 
Hizo ndizo kazi za Mayor?

Jiji linanuka kwa uchafu!! then jiongozi pumba.vu linaenda kuidhalilisha CCM na mauzinduzi ya kijinga kama haya!

Rais Samia usikubali kudhalilishwa na hawa Wachumia tumbo!

Piga marufuku maujinga kama haya ya kutumia Jina lako vibaya!

Hilo neno au maneno " CHAWA WA MAMA" linakera masikioni na vichwani mwa watu wenye akili!

Hawa walishajitoa ufahamu wanaweza kunya hata hadharani ili mradi mkono uende kinywani!
 
Back
Top Bottom