Meya wa Jiji la Dar kuzindua kinachoitwa 'Chawa wa Mama'

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA...
Mlimnanga sana mwendazake na kumsifia kwa sana mama, sasa kiko wapi? we kubali tu yaishe kama alivyofanya mwenyekiti wako, kwa siasa za Tanzania ukiziweka sana kifuani utapata ugonjwa wa moyo na kuacha familia yako ikiteseka, Jenerela Ulimwengu ana kamsemo kake kila ''mtu na kamhogo kake'' wacha watuwasifie ndivyo wanavyoishi kula yao inategemea na upepo wa mwenye kigoda.
 
Mbowe ndiye aliyekuletea Katiba Mpya , hamtadhulumiwa tena mpunga wenu hapo kyela
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu mwenyewe hapo umeona hiyo kituko

Hivi kwanini,wasifanye mambo yao ya kusifia kiongozi kwa wao,kufanya mambo kama kufanya usafi au kupanda miti nk
Sasa wao wanakuja na tamasha sijui zuchu na wasanii wengine watakuwepo,na magharama mengine
Hiyo ni matumizi mabaya ya fedha tu
Au ndiyo style ya namna ya wao kupiga hela

Ova
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .

Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii kadhaa watatumbuiza , akiwemo Zuchu kutoka Wasafi .

Bali hakuna vigezo vyovyote vilivyotajwa kwa mtu kutambulika kuwa Chawa , lakini tunadhani Kusifia sifia kila kitu yaweza kuwa kigezo kikuu

Kwangu hili jambo ni jipya kabisa , na kwa kweli sijawahi kuona jambo kama hili likizinduliwa popote Duniani , Je sisi tuko mbele zaidi au tuko nyuma ?
Wewe mbona ni chawa wa Mbowe lakini watu hatusemi?
 
Hahahahah hii ndio awamu ya walamba asali bana. We andaa event andaa warsha andaa ukaguzi chochote unachoweza. Andikia tu hela zitatoka ku finance unakula genji lako maisha yanaenda bila kelele.

Watanzania ni wapuuzi na hio ni given kama pie. Watalalamika siku 2/3 kisha kimya maisha yanaendelea.
 
Badala ya kuwaza namna la kulifanya jiji liwe safi kwa kuhamasisha haohao anaowakusanya kufanya usafi,anazindua upuuzi na ujinga kama huu......hivi Tz tulimkosea nini MUNGU?
 
Hahahahah hii ndio awamu ya walamba asali bana. We andaa event andaa warsha andaa ukaguzi chochote unachoweza. Andikia tu hela zitatoka ku finance unakula genji lako maisha yanaenda bila kelele.

Watanzania ni wapuuzi na hio ni given kama pie. Watalalamika siku 2/3 kisha kimya maisha yanaendelea.
Inasikitisha sana kwakweli
 
Chawa hakai kwa watu safi.
04084508-A6B5-400A-9287-BE55CE1C526F.jpeg
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .

Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii kadhaa watatumbuiza , akiwemo Zuchu kutoka Wasafi .

Bali hakuna vigezo vyovyote vilivyotajwa kwa mtu kutambulika kuwa Chawa , lakini tunadhani Kusifia sifia kila kitu yaweza kuwa kigezo kikuu

Kwangu hili jambo ni jipya kabisa , na kwa kweli sijawahi kuona jambo kama hili likizinduliwa popote Duniani , Je sisi tuko mbele zaidi au tuko nyuma ?
KAMA KWELI HILO LITATOKEA NA KUTENDEKA basi ktk Awamu zote zilizotawala Nchi hii basi AWAMU hii kwa KITENDO hicho itakuwa AWAMU ya HOVYO kupata KUTOKEA
UCHAWA ni UJINGA
 
Back
Top Bottom