mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wanawaandaliwa watu tamasha la zuchu na wasafi ...bllshytJiji la Dsm linachangamoto nyingi sana,unajiuliza huyu anapata wapi muda hata wa kuwaza huu upuuzi?
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawaandaliwa watu tamasha la zuchu na wasafi ...bllshytJiji la Dsm linachangamoto nyingi sana,unajiuliza huyu anapata wapi muda hata wa kuwaza huu upuuzi?
[emoji850]Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .
Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii kadhaa watatumbuiza , akiwemo Zuchu kutoka Wasafi .
Bali hakuna vigezo vyovyote vilivyotajwa kwa mtu kutambulika kuwa Chawa , lakini tunadhani Kusifia sifia kila kitu yaweza kuwa kigezo kikuu
Kwangu hili jambo ni jipya kabisa , na kwa kweli sijawahi kuona jambo kama hili likizinduliwa popote Duniani , Je sisi tuko mbele zaidi au tuko nyuma ?
Weka ushahidiWewe mbona ni chawa wa Mbowe lakini watu hatusemi?
Umesema ukweli mtupuKwa CDM haya mambo wanatakiwa kuyafurahia ni kama vile CCM inawafanyia promo ya bure na kuonyesha uoga wao.
Yaani ata kama kulikiwa na baadhi ya watu moyoni washahitimisha CDM hawana jipya, huu upuuzi wa CCM unawafanya waamke upya kwa hamu kwenda kwenye mikutano ya CDM.
Ila huyo anatafuta chaka tu lakupigia hela. Ndio ubaya wa kuwa na madiwani wa chama kimoja wanaoweza pitisha budget ya kipuuzi ivyo as if hiyo hela isingeweza tatua changamoto kadhaa za wananchi.
Anakaa Na Watu Wachafu ChawaSi tumekubaliana kuwa chawa wanaishi kwenye uchafu?
we haumo mkuu ?Hao chawa unakuta wananuka madeni kila mahali kutokana na ugumu wa maisha.
Nauli ya kufikia eneo la tikio wamekopa.
Maji waliyotumia kuoga wamechota kwa jirani.
Ukosefu wa ufahamu ni tatizo kubwa sana kwa sasa ingawa Mbwembwe kibao.
Jiji la Dar Lilifutwa na JPM na kubaki Jiji la Ilala.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .
Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii kadhaa watatumbuiza , akiwemo Zuchu kutoka Wasafi .
Bali hakuna vigezo vyovyote vilivyotajwa kwa mtu kutambulika kuwa Chawa , lakini tunadhani Kusifia sifia kila kitu yaweza kuwa kigezo kikuu
Kwangu hili jambo ni jipya kabisa , na kwa kweli sijawahi kuona jambo kama hili likizinduliwa popote Duniani , Je sisi tuko mbele zaidi au tuko nyuma ?
Mayor in Tanzania:Huwa nikifananisha Mayor wa duniani na wa kwetu naona hata udereva asingepewa
Hebu angalia nguvu za Mayor wa majiji makubwa na kazi zao halafu anakuja mwingine kwa cheo hicho hicho anaandaa upuuzi huu
Poleni sana View attachment 2478383View attachment 2478384View attachment 2478385
Ngoja tusubiriKumbukeni huyu mama ni mzanzibar sikuzote huwa hapendi sifa za kijinga sidhani kama mama atapenda Aina hii ya sifa
Iliyofutwa ni halmashauri ya Ilala , ikapandishwa hadhi na kuwa Jiji la Dar , lengo la Jiwe ni kuengua Temeke , Kinondoni , Ubungo na Kigamboni , kutokana na Wivu tu na roho mbaya tuJiji la Dar Lilifutwa na JPM na kubaki Jiji la Ilala.
Mbona kuna Jiji la Dar tena?
Kama hujawahi kuona au kusikia popote duniani basi jua tupo mbele ya Muda-Time traverseKuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .
Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii kadhaa watatumbuiza , akiwemo Zuchu kutoka Wasafi .
Bali hakuna vigezo vyovyote vilivyotajwa kwa mtu kutambulika kuwa Chawa , lakini tunadhani Kusifia sifia kila kitu yaweza kuwa kigezo kikuu
Kwangu hili jambo ni jipya kabisa , na kwa kweli sijawahi kuona jambo kama hili likizinduliwa popote Duniani , Je sisi tuko mbele zaidi au tuko nyuma ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .