Meya wa Jiji la Dar kuzindua kinachoitwa 'Chawa wa Mama'

Hizo ndizo kazi za Mayor?

Jiji linanuka kwa uchafu!! then jiongozi pumba.vu linaenda kuidhalilisha CCM na mauzinduzi ya kijinga kama haya!

Rais Samia usikubali kudhalilishwa na hawa Wachumia tumbo!

Piga marufuku maujinga kama haya ya kutumia Jina lako vibaya!

Hilo neno au maneno " CHAWA WA MAMA" linakera masikioni na vichwani mwa watu wenye akili!

Hawa walishajitoa ufahamu wanaweza kunya hata hadharani ili mradi mkono uende kinywani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…