Meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomfurusha Mwita Waitara akamatwa na polisi

Meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomfurusha Mwita Waitara akamatwa na polisi

Wale vijana waliotaka kumpora na kumpiga muheshimiwa waziri ni wahuni tu waliotumwa.
 
Waitara anachukiwa na mafisadi. Hasa baada ya kuibuia kashfa ya mbowe kulipwa deni hewa la mil 50 na kukwapua bil 8.
YYani fisadi achukiwe na mafisadi?Peleka huko upuuzi huu! Waitara n mlevi tu, mchumia tumbo aliyekutana na bahati ya mtende ya kuwa na uongozi wa kishamba, vinginevyo hata uafisa mtendaji wa kijiji hafai tena!
 
Tunajua Chadema mnachukia. Amewaaibisha sana mbele za umma.
 
RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara.

RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike kituoni kwa mahojiano.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Ni wa chama gani
 
Hii serikali inayoongozwa chama hiki bila jeshi la polisi hawana nguvu yeyote.
Wameona wamtoe huyo kafara ili ionekane kuwa wananchi hawana shida na waitara wakati sivyo ilivyo.
Hivi huyo waitara angekuwa chama cha upinzani hao polisi wangeangaika kuwafuatilia hao waliotaka kumpa kipondo huyo naibu waziri?

Hivi yule aliyeamasisha maandamano kwenda ubalozi wa Afrika ya kusini alichukuliwa atua gani?
 
Ccm akimkamata mccm mwenzake huwa sio ishue
Waitara alikimbia kazi ya kumpikia chai Dr Nchimbi akaenda kuwa mlinzi wa Mbowe.

Leo katelekeza jimbo lake Ukonga anaenda kumvuruga Bwire Tarime akizuga eti anapambana na Heche!
 
Back
Top Bottom