Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa

Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa

Inajulikana jamaa ni teja mzuri tu.
Waanze kumtafuta soberhouse za jijini.
Kama alijulikana kuwa ni TEJA ilikuwaje ccm ikamteua kugombea udiwani wa KAWE zaidi ya mara moja?
Songoro mwenyewe hana sababu ya kutangaza kuwa haonekani hilo ni jukumu la familia yake kama amepotea!!
Meya alitakiwa kuchukua hatua kufuatana na taratibu za vikao wakati Diwani akikosa vikao zaidi ya vitatu anachukuliwa hatua gani?
 
Muta Rwakatare diwani wa Kawe.

Muta Rwakatare ni rais wa chama cha ngumi Tanzania.

Muta Rwakatare ni mrithi wa Mali zote za mama yake Getruda Rwakatare kuanzia Kanisa na mashule yote ya St. Mary's ( Dar, Mbeya, Mwanza na Ifakara).

Muta Rwakatare hawezi kupoteza muda aje akae kwenye kikao Siku nzima kwa posho ya elfu 30.
Eeehh
 
Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.

Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo

Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro

Chanzo: wwwchannel ten
ACP Kingai anasemaje? Kawe iko mkoa wa kipolisi Kinondoni kwa ACP Ramadha Kingai. Polisi wanasemaje?
 
Jiwe ameharibu sana hii nchi ..... haya yooote kawafundisha jiwe!...mkajua kuumbe kutekana ina wezekana! jamani kaeni macho unaweza dhaniwa ndiye kuuumbe siyo lkn ndo umeshatekwa sasa!!
Ulimboka akitekwa na jiwe Mwaka 2012!?
 
Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.

Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo

Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro

Chanzo: wwwchannel ten
Wameshaanza kufichana sjui hawatak mwenzao ahesabiwe. Jesh la polisi lifanye kazi yake kama kawaida....
 
Ngada

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app

Kama aliendeleza biashara ya NGADA baada ya mama yake kutwaliwa basi inawezekana wamedhulumiana na kwenye hiyo biashara ukijitia mjanja wanakupoteza!!! Wamuulize kaka yake mkubwa anaweza kujua mdogo wake aliko!
Songolo pia is a person of interest kama kweli huyu diwani katoweka; he is also mentioned as being involved in the illicit trade!!! Anaweza kujua kitu kizito kilichompata huyu diwani.
 
Ulimboka akitekwa na jiwe Mwaka 2012!?
Ndiyo!! Jiwe alishirikiana kwa karibu sana, na Membe!! Lengo lao ili wamfurahishe Rais Kikwete!.... na ili kikwetet atakapo maliza mda wake awafikirie kwenye teuzi za kugombea u rais!........

Jiwe akapata, lkn kawageuka wenzake faster tena wengi tu, akiwamo Boss wake wa zamanai pia Membe! jiwe akajifanya yeye mafia zaidi... kuumbe toto la kisukuma sijui mRundiyule?........, watoto wa mjini wakawa wanalichora tu kwa povu!

ndo maana, yeye huyo Membe akawa mwiba Lugumya maksudi tu.... kwenye utawala wa jiwe kwa kuwa jiwe alimgeuka wazi, akiamini Membe anataka muua huko mbele ya safari!! ...kwa kuwa Membe ni afisa usalama mbobevu hasa bin zoefu !!

anaweza kuua dakika sifuri kwa remote ya masafa, mbinu za kimafia alizo jifunza Urusi!....hili lilimtatiza kwa hofu kubwa sana jiwe na kila akijaribu kumuweka Membe mkononi mwake hakushikika.....hata jiwe alipo kufa alitamka wazi...''amenimaliza huyu bwana''

tafuta clip humu zinazo husu kifo cha jiwe utaziona zimo!......kwani unaona Membe kuna siku aliomboleza kifo cha jiwe??...alikuwa hamuogopi jiwe hata dakika sifuri! sababu alijua mapungufu lukuki ya utawala wa jiwe ''A to Z'' ni usipime.

Maskini wa Mungu jiwe hakujua Uwezo wa watu aliokuwa anapambana nao ambao walikuwa ni very vital kwa tawala zote, tangu zama za Edward Twinning! hili hakulijua kamweee!.....ukisha kuwa Rais popote Duniani lazima uwekwe kwenye mizania kwanza!

Kumbuka kwamba Dunia hii ina wenyewe hata uwe nani lazima upitishwe kwenye tanuru of know how!!...utake usitake, wakigundua ni wrong choice ndo km hayo ya jiwe!....JF keneddy nk!

Kumbuka jiwe wkt huo alikuwa waziri!! Maafisa usalama walikuwa wanamfundisha mbinu za kimafia!! pindi wao watakapo kuwa ktk uongozi wa juu!! lkn bahati mbaya nafasi ikamdondokea jiwe!

Jiwe kashindwa kuwaweka wenzie sawa akawageuka tena kwa kejeli mbaya,...... akidhania ni Rahisi ivo!! lkn jua Membe alinuna!!....alichoshindwa kujua jiwe ni kuwa Membe alikuwa kaiva ki mafia!...na kiusalama zaidi ya nchi! yule aliandaliwa kuua tu!

nchi hii imesukwa na ika sukika wapo wachache sana tunao jua mchezo ukiingia humu uwe flexible! uishi......
 
namkumbuka ngurumo nakibao chao "Mali ya baba inanitoa roho"

Kujikalia pembeni anashindwa nn Mali atafte mama ake yeye afichwe
 
Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.

Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo

Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro

Chanzo: wwwchannel ten
wao hawajuwi?
 
CCM washaanza kukulana hii Ni habari njema
 
Mbowe kaanza mambo yake ya utekaji tena[emoji849][emoji849]
 
Jiwe ameharibu sana hii nchi ..... haya yooote kawafundisha jiwe!...mkajua kuumbe kutekana ina wezekana! jamani kaeni macho unaweza dhaniwa ndiye kuuumbe siyo lkn ndo umeshatekwa sasa!!
Mwacheni baba wa watu apumzike hadi ulevi na uzinzi mnamsingizia
 
Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.

Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo

Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro

Chanzo: wwwchannel ten

Nilijua tu atakuwa amefichwa na shangingi..

IMG-20220524-WA0032.jpg
 
Back
Top Bottom