mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Yah!watakuwa Lodge wametulia tu na mwanadada mmjaInajulikana jamaa ni teja mzuri tu.
Waanze kumtafuta soberhouse za jijini.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah!watakuwa Lodge wametulia tu na mwanadada mmjaInajulikana jamaa ni teja mzuri tu.
Waanze kumtafuta soberhouse za jijini.
Walichomekwa St Mary's na kanisaniKabla ya udiwani alikuwa anajihusisha na biashara gani
Kabla ya kuchomekwa huko alikuwa anajulikana kwa biashara ipi? Yeye na marehemu mama yakeWalichomekwa St Mary's na kanisani
Miradi ya mama yake
Ova
Kama alijulikana kuwa ni TEJA ilikuwaje ccm ikamteua kugombea udiwani wa KAWE zaidi ya mara moja?Inajulikana jamaa ni teja mzuri tu.
Waanze kumtafuta soberhouse za jijini.
EeehhMuta Rwakatare diwani wa Kawe.
Muta Rwakatare ni rais wa chama cha ngumi Tanzania.
Muta Rwakatare ni mrithi wa Mali zote za mama yake Getruda Rwakatare kuanzia Kanisa na mashule yote ya St. Mary's ( Dar, Mbeya, Mwanza na Ifakara).
Muta Rwakatare hawezi kupoteza muda aje akae kwenye kikao Siku nzima kwa posho ya elfu 30.
ACP Kingai anasemaje? Kawe iko mkoa wa kipolisi Kinondoni kwa ACP Ramadha Kingai. Polisi wanasemaje?Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: wwwchannel ten
Ulimboka akitekwa na jiwe Mwaka 2012!?Jiwe ameharibu sana hii nchi ..... haya yooote kawafundisha jiwe!...mkajua kuumbe kutekana ina wezekana! jamani kaeni macho unaweza dhaniwa ndiye kuuumbe siyo lkn ndo umeshatekwa sasa!!
Wameshaanza kufichana sjui hawatak mwenzao ahesabiwe. Jesh la polisi lifanye kazi yake kama kawaida....Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: wwwchannel ten
Imeisha hiyo
Ndiyo!! Jiwe alishirikiana kwa karibu sana, na Membe!! Lengo lao ili wamfurahishe Rais Kikwete!.... na ili kikwetet atakapo maliza mda wake awafikirie kwenye teuzi za kugombea u rais!........Ulimboka akitekwa na jiwe Mwaka 2012!?
Babu ngoja kwanza tumezeeKabla ya kuchomekwa huko alikuwa anajulikana kwa biashara ipi? Yeye na marehemu mama yake
Sio wa kuonekana leo huyo mjukuuBabu ngoja kwanza tumezee
Ila itakuwa kajificha na kimwana Hahaha...
Code hiyo(AM)!
Ova
wao hawajuwi?Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: wwwchannel ten
Mwacheni baba wa watu apumzike hadi ulevi na uzinzi mnamsingiziaJiwe ameharibu sana hii nchi ..... haya yooote kawafundisha jiwe!...mkajua kuumbe kutekana ina wezekana! jamani kaeni macho unaweza dhaniwa ndiye kuuumbe siyo lkn ndo umeshatekwa sasa!!
Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.