Meya wa Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!

ramli chonganishi inaonesha chenga chenga
 
Mze kwa maandalizi kama hayo, hata Mwenyezi Mungu hawezi sikia maombi yako akupe madaraka. Badirisha dhamila.
 
Weka cd nyingine kwani hii imeshachuja kama sio kutoboka na kuscrach! Huyo anayehama ana kitita kibindoni je, wewe? Shangilia tu shibe za wenzako! Laiti ungemuomba daidomo akufundishe kuimba ungeweza kupata za kununulia shati la mtumba tandika!
 
Weka cd nyingine kwani hii imeshachuja kama sio kutoboka na kuscrach! Huyo anayehama ana kitita kibindoni je, wewe? Shangilia tu shibe za wenzako! Laiti ungemuomba daidomo akufundishe kuimba ungeweza kupata za kununulia shati la mtumba tandika!
Mmeshanyooka wallah!
 
Kwa hiyo birthday ya Diamond inakuwa ya kisiasa!!!! Huyu msanii ni mwanaccm au kashauriwa vibaya!
 

Wambea wa tandale kumbe na humu mumo!?
 
Heeee hadi RC kwenye birthday jamani?

Tunahangaishwa na machizi na nzi wa kijani....!!Kila kitu ni siasa..!
''TATIZO LA NCHI HII TUMERUHUSU AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA..''Rev. Peter Msigwa(MP Iringa Urban-CHADEMA)
 
Wewe endelea kubeba mabox huku wala hatukutambui
Wewe anakutambua nani hapo Lumumba? Kama walivyochemsha wengi hapa jukwaani baada ya kukosa uteuzi nawe utachemsha tuu....
 
Thubutu maamae. You are dealing and messing around with a wrong person. Naweza kupenyeza ngerengere nikafly yale ma migs chakavu ya 1970s nakuwashushia vitu vizito vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka hapo lumumba
Hahaha Copenhagen Dn

Huu mkwara sio wa nchi hii

Salalee!
 
Mmeshanyooka wallah!
Unajua nini dogo? Kinywa hunena yaujazao moyo hivyo haya ya kunyooka yanakukabili pande zote za dira! Tulia na endelea kushangilia ili angalau waendelee kukutupia buku saba japo siku hizi zimeadimika kama jasho la kuku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…