Herr muller
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 1,017
- 1,210
Alafu cha kushangaza badala wajilaumu kwa kuwa na viongozi wanaonunulika...wana poteza muda bila aibu kuwacheka CCM wanaowanunuaChadema wako sokoni!
Yule ndio mwepesi kabisa!Mnaweza nunua wote ila mbunge wangu na rafiki yangu mkubwa, special seat mp upendo peneza, geita, NG"O huyo mumusahau kabisa, hakuna hela ambayo mnaweza tumia kumununua, hata mumupatie hela yote ambazo ziko hapo BOT , hatachukua na hana haja nazo, hata wote wahame chadema, peneza atabaki kuwa katika upizani
95% ya wabongo ni mbumbumbu ndio maana story yako inabambaViongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda.
Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo mbunge anayeachana na Chadema kama ni John au Saed.. Stay tuned utayapata yote kutokea hapa Tandale!
Updates:
Meya wa Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!
Diamond amewalipia bima ya afya akina mama 1000 yenye jumla ya thamani ya sh 36milioni.
Dai ametoa pikipiki 20 kwa vijana was Tandale kama njia mojawapo ya kukuza ajira.
Dai amkabidhi mama mmoja Bajaj mpya ili imsaidie kimaisha.
Dai ampeleka Hawa was " Nitarejea" India kupata matibabu ya maradhi yanayomsumbua.
Le mutuz amlipia bima ya afya mwanamama mmoja.
Shigongo Naye atoa pikipiki tatu kwa vijana was Tandale.
Haji Manara amejitolea kuwalipia bima ya afya watoto wenye ulemavu watakaoanza darasa la kwanza mwakani Kara ya Tandale.
Thats my girl, jaribuni nyinyi wanaccm hamuwezi nunua peneza, just try pls, najua wewe ni moja wa wale wanatumwa na magufuli kununua madiwani na wabunge, PENEZA NO WAY MKUUYule ndio mwepesi kabisa!
Mkuu ulimsikiliza Pole pole,?Leo zamu ya Kubenea.
Hakuna aliyehama,kashiba ndondo mtoa uziSo what
Cinema zinaendelea nchini Tanzania. Kwa akili yako uliyopewa na mungu. Unavyoona wewe au kufikiria huyo Diamond anaweza kuwa na utajiri wa kiasi gani. Sidhani kama inafika hata 1b. Usifikiri kupigwa nyimbo zake redioni kila dakika au kuwa na wapenzi wengi wasiolipa hata shilingi ndio utajiri. WATANZANIA WANAITAJI ELIMU! ELIMU! ELIMU!. CCM wanajua matatizo ya watanzania walio wengi ni ELIMU. Ndio maana hawataki kuwapa elimu ili watanzania waendelee kuwa mandondocha. Ili kikundi kidogo ya wanaccm waendelee KUTAWALA. Haitakaa ccm ikatoa elimu iliyo bora kwa Watanzania. ELIMU BORA itakuja kupatikana baada ya MACCM Kuondoka madarakani. CCM NI KIKUNDI CHA WATU WABINAFSI, WANAOJIPENDA WAO NA FAMILIA ZAO. NA AKILI ZAO INAWAAMBIA TANZANIA NI MALI YAOViongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda.
Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo mbunge anayeachana na Chadema kama ni John au Saed.. Stay tuned utayapata yote kutokea hapa Tandale!
Updates:
Meya wa Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!
Diamond amewalipia bima ya afya akina mama 1000 yenye jumla ya thamani ya sh 36milioni.
Dai ametoa pikipiki 20 kwa vijana was Tandale kama njia mojawapo ya kukuza ajira.
Dai amkabidhi mama mmoja Bajaj mpya ili imsaidie kimaisha.
Dai ampeleka Hawa was " Nitarejea" India kupata matibabu ya maradhi yanayomsumbua.
Le mutuz amlipia bima ya afya mwanamama mmoja.
Shigongo Naye atoa pikipiki tatu kwa vijana was Tandale.
Haji Manara amejitolea kuwalipia bima ya afya watoto wenye ulemavu watakaoanza darasa la kwanza mwakani Kara ya Tandale.
Utanyooka tu!!
Why diamond na siyo familia za akina Sykes, Mshume Kiate, Tambaza et al?Viongozi mbalimbali was kisiasa, Sana'a na michezo wameshawasili na sasa anasubiriwa mgeni rasmi katika tukio hili RC Makonda.
Pamoja na mambo mengi yanayojiri wengi wana hamu ya kumuona Hugo mbunge anayeachana na Chadema kama ni John au Saed.. Stay tuned utayapata yote kutokea hapa Tandale!
Updates:
Meya wa Kinondoni kumpa Diamond mtaa mmoja ubatizwe jina lake pia shule mojo na ya msingi na sekondari itaitwa jina la Diamond!
Diamond amewalipia bima ya afya akina mama 1000 yenye jumla ya thamani ya sh 36milioni.
Dai ametoa pikipiki 20 kwa vijana was Tandale kama njia mojawapo ya kukuza ajira.
Dai amkabidhi mama mmoja Bajaj mpya ili imsaidie kimaisha.
Dai ampeleka Hawa was " Nitarejea" India kupata matibabu ya maradhi yanayomsumbua.
Le mutuz amlipia bima ya afya mwanamama mmoja.
Shigongo Naye atoa pikipiki tatu kwa vijana was Tandale.
Haji Manara amejitolea kuwalipia bima ya afya watoto wenye ulemavu watakaoanza darasa la kwanza mwakani Kara ya Tandale.
Nimekumbuka mbali sanaaaNjaa inauma,angalia usile nyau
Diamond hawezi kua na utajiri uwezo wa kutoka msaada mkubwa kiasi hicho ninachoamini/fikiria ni kwamba alipata idea ya kuwasaidia wana tandale akuza Sera kwa makampuni na watu mashuhuri waka fadhili sehemu ya msaaada ila Kasema mondi Kata kila kitu ni uongo.Cinema zinaendelea nchini Tanzania. Kwa akili yako uliyopewa na mungu. Unavyoona wewe au kufikiria huyo Diamond anaweza kuwa na utajiri wa kiasi gani. Sidhani kama inafika hata 1b. Usifikiri kupigwa nyimbo zake redioni kila dakika au kuwa na wapenzi wengi wasiolipa hata shilingi ndio utajiri. WATANZANIA WANAITAJI ELIMU! ELIMU! ELIMU!. CCM wanajua matatizo ya watanzania walio wengi ni ELIMU. Ndio maana hawataki kuwapa elimu ili watanzania waendelee kuwa mandondocha. Ili kikundi kidogo ya wanaccm waendelee KUTAWALA. Haitakaa ccm ikatoa elimu iliyo bora kwa Watanzania. ELIMU BORA itakuja kupatikana baada ya MACCM Kuondoka madarakani. CCM NI KIKUNDI CHA WATU WABINAFSI, WANAOJIPENDA WAO NA FAMILIA ZAO. NA AKILI ZAO INAWAAMBIA TANZANIA NI MALI YAO
Enheee bado tunasubiriMtaa wa ufipa sasa ni Diamond st!