usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,898
Leo slowslow ni mtu wa kutumia maneno yake kama ushahidi ushahidi ndani ya huu mjengoMkuu ulimsikiliza Pole pole,?
Alisema ccm imekataa kuwapokea wsbunge watatu was cdm was mkoa was dar es salaam
Kwa maana hiyo waliokataluwa kujinga na ccm kwa sababu ya matusi na matendo yao,dhidi ta viongozi was ccm na serikali ni LAZIMA watskuwa
1-John MNyika
2-Kubenea
3-Halima Mdee hawa ndio wabunge waliokataliwa kujiunga na ccm kwa mojibu was Pole pole.
Dhana hii inatokana na ukweli kwamba Kinondoni,Kigamboni,Segerea,Ukonga,Temeke/Mbagala zote zipo na wabinge was ccm.
Kawe,Ubungo,na Kibamba ndizo pekee zipo cdm.
Zitto ni Zitto na Mbatia ni Mbatia na Mbowe ni Mbowe,you pray evils for others they'll turn to you insteadHadi 2019 Mbowe atakuwa kama Mbatia/Zitto
Mdogo wangu Copenhagen mbona umekuwa mtu wa ajabu hivi siku hizi!?haya shihata tumekupata ni msimu wenu wa kujidai. Ole wenu tushike madaraka tumewaandalia adhabu nzuri lukuki za vifo kati ya hizo, beheading, drowning, poisoning, hunging, firing squad, burning in the cage, throwing from cliffs and high building. Endeleeni tu.
Pray we dont get into power!
Hivi kuna watu huwa wanawasaidia watu wenye uhitaji kwa lengo la kupata DHAWABU!?Ni jambo bora la haki na heri kutoa kuliko kupokea, Nawasifu wale wote wanaotoa vitu au pesa zao kwa ajili ya wengine wenye uhitaji. Lakini kutoa kwa "kujitangaza" hakuna dhawabu yoyote ile kutoka kwa MUNGU, bali ni kutafuta sifa na utukufu kutoka kwa Wanadamu.
Heshima kwako mkuu. Yani comment yako imenigusaMdogo wangu Copenhagen mbona umekuwa mtu wa ajabu hivi siku hizi!?
Tatizo ni nini haswa ndugu? Siamini kama huyu ni wewe ambaye tulikuwa tunakula summer pamoja pale Strøget!
Tuko pamoja sana!Heshima kwako mkuu. Yani comment yako imenigusa
Wanaotoa msaada kwa sababu ya kuguswa na matatizo ya wengine ili wawasaidie huwa hawajitangazi, wao hutoa kimya kimya kwa upendo wa dhati. Hawa watu wanaojitangaza wakati wakitoa misaada, lengo lao ni kutafuta "sifa" na "utukufu" wa wanadamu.Hivi kuna watu huwa wanawasaidia watu wenye uhitaji kwa lengo la kupata DHAWABU!?
Mimi nilijua unatoa msaada kwakuwa unahisi una uwezo wa kusaidia wengine.
Uko sahihi kabisa mkuu, huyu Diamond kuna kitu anatarajia kukipata kutoka kwa Serikali au kwa wakazi wa Tandale. Usije shangaa mwaka 2020 akatangaza kugombea Ubunge. Kama akina Profesa J wamekuwa Wabunge kwanini yeye ashindwe kuupata.Kafanya vizurii lakin ukute kafanya hivyo kwa kutegemea apate kitu flan hicpvi mbeleni
Ni birthday mkuuNazani hata iyo happy birthday kodi za walalahoi zimetumika pia da haya mambo haya