Meya wa Manispaa ya Ubungo, Ndg. Boniface Jacob akamatwa na Polisi kwa mahojiano

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Ndg. Boniface Jacob akamatwa na Polisi kwa mahojiano

Ndo mnajipa moyo!
Kwa hiyo munaenda kumpoteza kama mulivyompeta benny unaonekana unafuraha sana angalia walikuwepo akina maabotu akina sadaamu gaddaafi wote wako chini ya kilo mia tano za mchanga enjoy your time but you will rip what you sow
 
Ccm polisi endeleeni kupokea ujumbe kutoka juu tumeanza na Tarime

Swissme
 
Yaani ccm+police wangekuwa na uwezo wangeua wapinzani wote ili wabaki wenyewe tu watawale wazee,maskini nawasio na Elimu
Yaani ccm+police wangekuwa na uwezo wangeua wapinzani wote ili wabaki wenyewe tu watawale wazee,maskini nawasio na Elimu
HATA WAWAUE MAWAZO YA KIMAPINDUZI YAMO VICHWANI MWA WATOTO WADOGO WASIO NA VYAMA.
 
Kwa hiyo munaenda kumpoteza kama mulivyompeta benny unaonekana unafuraha sana angalia walikuwepo akina maabotu akina sadaamu gaddaafi wote wako chini ya kilo mia tano za mchanga enjoy your time but you will rip what you sow
Calm down Ben Mzima hadi sasa sema afya yake imedhoofu anapewa magazeti kama Mwananchi yuko fresh tuu mda ukitimia atarudi
 
Meya kihelehele huyu, tuna mameya karibu sita katika jiji hili lakini huyu meya kazi kuuza sura tu kwenye media, sijui hana kazi, mara kamshitaki Makonda, mara kaandamana bomoabomoa. ndio alitaka umeya wa jiji la Dar huyu, ovyooo!
Sawa na yule wa Arusha kashapiga m300 za kwenye msiba wa mzee ndesa saivi wapo kimya. familia ya ndesa inalilia rambirambi.
 
View attachment 526952
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na Polisi kwa ajili ya mahojiano kituo cha polisi Mbezi, sababu haijajulikana.

========

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob amechukuliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano hata hivyo sababu za kuchukuliwa kwake bado hazijawekwa wazi.

Tukio limetokea leo Jumatatu saa sita mchana katika makao makuu ya wilaya hiyo yaliyopo Kibamba.

Askari wapatao wanne wakiwa katika gari aina ya Land Cruise walifika katika eneo hilo kisha kuzuia msafara wa viongozi wa Chadema waliokuwa tayari kuanza ziara ya kutembelea manispaa hiyo.

Miongoni mwa viongozi hao wa Chadema ni waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na viongozi wengie wa Ubungo na Kanda ya Pwani.

Baada ya kuzuia msafara huo, mmoja wa askari alishuka na kumfuata Jacob na kumweleza anamuhitaji kuambatana naye hadi Kituo cha Polisi cha Mbezi.

"Tunakuomba uongozane na sisi hadi kituoni tuna maongezi na wewe yasiyozidi dakika 10 tukiridhika tunakuachia uendelee na shughuli zako,"

Baada ya kumweleza hayo, ofisa huyo alikwenda moja kwa moja katika gari la Sumaye na kumweleza kuwa wanamuhitaji meya kwa dakika 10 kisha watamuachia.

Chanzo: Mwananchi
Kamata wachumia TUMBO.....sasa ni wakati wa KAZI...siasa 2020!
 
Meya kihelehele huyu, tuna mameya karibu sita katika jiji hili lakini huyu meya kazi kuuza sura tu kwenye media, sijui hana kazi, mara kamshitaki Makonda, mara kaandamana bomoabomoa. ndio alitaka umeya wa jiji la Dar huyu, ovyooo!
Sawa na yule wa Arusha kashapiga m300 za kwenye msiba wa mzee ndesa saivi wapo kimya. familia ya ndesa inalilia rambirambi.

tam
 
Mbona mameya na madiwani wa ccm hawakamatwi kama wa chadema? Polisi ni wana-ccm tofauti ni uniform tu.
 
Back
Top Bottom