Meya wa Manispaa ya Ubungo, Ndg. Boniface Jacob akamatwa na Polisi kwa mahojiano

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Ndg. Boniface Jacob akamatwa na Polisi kwa mahojiano

vip wale waliotajwa katika ripoti ya acacia wameshakamatwa kwa mahojiano au ndo tusahau tena?
Anatafutwa huyo sumaye kwanza. Meya anaombwa ruksa akikubali utasikia tu mkuu
 
Kamata huyo.....huyu meya katoa tamko wananchi wavunje wenyewe nyumba zao...bila kufatilia haki zao...kibaya zaidi anatoa matamshi tofauti na siku ya mkutano. Na. Wananchi mbezi mwisho kwenye mkutano wa mnyiks
 
Dah! hii ndiyo interejensia ya Polisi yetu inavyofanya kazi wao wanashughulika na wapinzani tu kama haya yangekuwa yanafanyika kibiti leo hii tusingesikia mauaji ya kila kukicha
 
Dah eti katuma salam za rambirambi England bila kumjulisha mkuu wa kaya
 
Kamata huyo.....huyu meya katoa tamko wananchi wavunje wenyewe nyumba zao...bila kufatilia haki zao...kibaya zaidi anatoa matamshi tofauti na siku ya mkutano. Na. Wananchi mbezi mwisho kwenye mkutano wa mnyiks
Ulitaka kuandika kitu gani? Kwamba amewazuia wananchi kufuatilia haki zao?
 
Safi sana, huyu Jacob alimpiga sana mlinzi wa Dr Slaa
 
Tusipige ramuli wana jf, tusubiri tuijue sbb ndipo tujadili.
 
Hajakamatwa ila Polisi wamemuomba waende naye kituo cha Polisi kwa mahojiano kwa dk 10 wakiridhika watamruhusu kuendelea na shughuli zake.
 
Najisikia kuipenda nchi yangu sana na kuiombea.

najisikia kuichukia serikali yangu hata kuiombea siwezi

Ee Mwenyezi Mungu nisaidie
 
Back
Top Bottom