Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
C [emoji777]walaa c jambo jipya kwa viongoz wa upinzan kukamatwa, tushazoea sasa
KUNA MBEZI YA BAGAMOYO ROAD NA MORORGORO ROAD.Kituo cha Polisi cha Mbezi.
Ndiyoooooooooooooooooo.Mameya wa CCM wapo busy na majukumu yao, kama yalivyoelekezwa kwa taratibu zote.
Sio huyu anapiga zumari na anacheza mwenyewe.
2020 hawataki upinzani uwepo lakini watashindwa na figisu zaoHivi ndiyo viwanda vya CCM, badala ya kupambana na majambazi Kibiti tuna pambana na wapinzani.
Mkuu hizo taratibu zipo kisheria lakini polisi hawazifuati, tena ukiwa mwananchi wa kawaida na ukademand kitambulisho na kujua sababu utafika kituoni ukiwa hoi taabani.Sheria inasema polisi akikumata anapaswa awe na hati ya kukukamata pia akueleze sababu ya kukukamata.
Kwani Rugemalira ni chadema?Chadema
LABDA MBINGUNIDemokrasia iko wap?
Iko TanzaniaDemokrasia iko wap?
2020 hawataki upinzani uwepo lakini watashindwa na figisu zao
Ni wajinga tu2020 hawataki upinzani uwepo lakini watashindwa na figisu zao
Kwani kuna sheria inayokataza kutafuta kiki?Ushasikia mameya wa ccm wanatafuta kiki kwwenye matukio,? unamjua au kumsikia meya wa Temeke au meya wa Kigamboni? huyu kazidi sasa anatafuta kiki, mpaka basi, bora yake meya wa jiji Isaya Mwita