Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Hapana mangi. Police wako kazini, hata wewe wanaweza kukuchukua kwa ajili ya kusaidia upelelezi.Polisi wanatumwa tumwa tu !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mangi. Police wako kazini, hata wewe wanaweza kukuchukua kwa ajili ya kusaidia upelelezi.Polisi wanatumwa tumwa tu !
Wewe nawe unafundisha lugha ila huelewi lugha!!!Unajuwa kakamatwa kwa sababu gani?
Wanatekeleza maelekezo waliyopewa!
Majini ni ya kutumwa tu kwa sababu hayatumii ubongo ni viumbe tu!Hapana mangi. Police wako kazini, hata wewe wanaweza kukuchukua kwa ajili ya kusaidia upelelezi.
Mameya wa CCM wapo busy na majukumu yao, kama yalivyoelekezwa kwa taratibu zote.kwa hiyo unataka kutuambia nini mkuu.meya wa ccm waoga awajui kuhoji
Wametumwa na bosi wao yule msaidizi wa Janet aliyepewa madaraka makubwa na hana shuleView attachment 526952
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na Polisi kwa ajili ya mahojiano kituo cha polisi Mbezi, sababu haijajulikana.
========
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob amechukuliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano hata hivyo sababu za kuchukuliwa kwake bado hazijawekwa wazi.
Tukio limetokea leo Jumatatu saa sita mchana katika makao makuu ya wilaya hiyo yaliyopo Kibamba.
Askari wapatao wanne wakiwa katika gari aina ya Land Cruise walifika katika eneo hilo kisha kuzuia msafara wa viongozi wa Chadema waliokuwa tayari kuanza ziara ya kutembelea manispaa hiyo.
Miongoni mwa viongozi hao wa Chadema ni waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na viongozi wengie wa Ubungo na Kanda ya Pwani.
Baada ya kuzuia msafara huo, mmoja wa askari alishuka na kumfuata Jacob na kumweleza anamuhitaji kuambatana naye hadi Kituo cha Polisi cha Mbezi.
"Tunakuomba uongozane na sisi hadi kituoni tuna maongezi na wewe yasiyozidi dakika 10 tukiridhika tunakuachia uendelee na shughuli zako,"
Baada ya kumweleza hayo, ofisa huyo alikwenda moja kwa moja katika gari la Sumaye na kumweleza kuwa wanamuhitaji meya kwa dakika 10 kisha watamuachia.
Chanzo: Mwananchi
Wametumwa na bosi wao yule msaidizi wa Janet aliyepewa madaraka makubwa na hana shule
Tupo bongo bahati mbaya tuuu.....View attachment 526952
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na Polisi kwa ajili ya mahojiano kituo cha polisi Mbezi, sababu haijajulikana.
========
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob amechukuliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano hata hivyo sababu za kuchukuliwa kwake bado hazijawekwa wazi.
Tukio limetokea leo Jumatatu saa sita mchana katika makao makuu ya wilaya hiyo yaliyopo Kibamba.
Askari wapatao wanne wakiwa katika gari aina ya Land Cruise walifika katika eneo hilo kisha kuzuia msafara wa viongozi wa Chadema waliokuwa tayari kuanza ziara ya kutembelea manispaa hiyo.
Miongoni mwa viongozi hao wa Chadema ni waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na viongozi wengie wa Ubungo na Kanda ya Pwani.
Baada ya kuzuia msafara huo, mmoja wa askari alishuka na kumfuata Jacob na kumweleza anamuhitaji kuambatana naye hadi Kituo cha Polisi cha Mbezi.
"Tunakuomba uongozane na sisi hadi kituoni tuna maongezi na wewe yasiyozidi dakika 10 tukiridhika tunakuachia uendelee na shughuli zako,"
Baada ya kumweleza hayo, ofisa huyo alikwenda moja kwa moja katika gari la Sumaye na kumweleza kuwa wanamuhitaji meya kwa dakika 10 kisha watamuachia.
Chanzo: Mwananchi
Ulichoandika hapo hata hakielewekiMajini ni ya kutumwa tu kwa sababu hayatumii ubongo ni viumbe tu!
1. Kwamba polisi ni Majini?Ulichoandika hapo hata hakieleweki
Mangi jifunze Kiswahili maana inaonekana unaandika kwa kichaga1. Kwamba polisi ni Majini?
2. Kwamba majini kazi yao ni kutumwa tu hayatumii ubongo!? hapo umeelewa?
3. Kwamba majini siyo watu ni viumbe aina nyingine umeelewa nafikiri
hapo umeelewa loud and clear!
Yani hawa askari wako vizuri sana kwenye kudeal na wapinzani
Ww kijana wa lumumba shika adabu, kwan kazi yake ni kukaa ofisiniMeya kihelehele huyu, tuna mameya karibu sita katika jiji hili lakini huyu meya kazi kuuza sura tu kwenye media, sijui hana kazi, mara kamshitaki Makonda, mara kaandamana bomoabomoa. ndio alitaka umeya wa jiji la Dar huyu, ovyooo!
Sawa na yule wa Arusha kashapiga m300 za kwenye msiba wa mzee ndesa saivi wapo kimya. familia ya ndesa inalilia rambirambi.