Meya wa Manispaa ya Ubungo, Ndg. Boniface Jacob akamatwa na Polisi kwa mahojiano

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Ndg. Boniface Jacob akamatwa na Polisi kwa mahojiano

Calm down Ben Mzima hadi sasa sema afya yake imedhoofu anapewa magazeti kama Mwananchi yuko fresh tuu mda ukitimia atarudi

Hongera sana.Binadamu ni rahisi kusema pole kwa mwenzake/jirani/rafiki pale anapoondokewa na nduguye,ila inakuwa ngumu kupokea hiyo pole pale yanapomfika mtoa pole.

In short furaha yako itakuwa njema kama ukienda kukaa Bar na kujipatia beer zako kadhaa kwa sababu una nuguvu leo!
 
Hivi polisi wao wakikosea hukamatwa na kuhojiwa na nani?
Maana naona juzi walipiga walemavu sijui nani awakamate na kuwahoji
 
Mbona mameya na madiwani wa ccm hawakamatwi kama wa chadema? Polisi ni wana-ccm tofauti ni uniform tu.
Ushasikia mameya wa ccm wanatafuta kiki kwwenye matukio,? unamjua au kumsikia meya wa Temeke au meya wa Kigamboni? huyu kazidi sasa anatafuta kiki, mpaka basi, bora yake meya wa jiji Isaya Mwita
 
tabu na mateso na maudhi ndo yanawaimalisha wapinzani,
ivo SSM waendeelee kuimalisha upinzani bila kujijua.
 
Utani mwingine hasa mwezi huu wa Ramadhani haufai.......hebu ona:
Jina langu Mwambangozi
Mimi sifi kabisa
Kama nikifa sintooza
Kama nikioza sintonuka
Kama nikinuka.......
 
Wamchukue tu tushazoea, wataturudishia wakiamua
 
Inamaanisha tokea akamatwe hizo dakika kumi bado hazijaisha?
 
Ushasikia mameya wa ccm wanatafuta kiki kwwenye matukio,? unamjua au kumsikia meya wa Temeke au meya wa Kigamboni? huyu kazidi sasa anatafuta kiki, mpaka basi, bora yake meya wa jiji Isaya Mwita
kwa hiyo unataka kutuambia nini mkuu.meya wa ccm waoga awajui kuhoji
 
Wapinzani kukamatwa, kuhalibiwa mashamba + n.k, imekuwa siyo habari tena.
 
Ushasikia mameya wa ccm wanatafuta kiki kwwenye matukio,? unamjua au kumsikia meya wa Temeke au meya wa Kigamboni? huyu kazidi sasa anatafuta kiki, mpaka basi, bora yake meya wa jiji Isaya Mwita
Hivi huyu anatafuta kiki kuliko makonda
 
Back
Top Bottom