Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ile stendi haimilikiwi na Halmashauri ya Ubungo!!Jamaa anapaswa kuhakikisha stendi kuu pale ubungo inakuwa alama ya utofauti kati ya Chadema na CCM ila yeye kawekeza kwenye kukuza mashavu badala ya kufanya anachopaswa kufanya.
Dr Slaa ni mdhambi na dhambi hizo zimewapoteza kwenye ramani!🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩Hamna laana ktk unafiki. Kujitenga na makubaliano ulioridhia awali ni dhambi. Kikanuni Dr. Slaa ni mdhambi.
Hahahaha kweli MkuuWaache wabwatuke maana corona ishawapigia hodi
In God we Trust
Kweli kabisa, wamejazana kule kwenye ule Uzi, huku wanachungulia na kuondokaAchana na hizo Mburula za Lumumba,
Hahahaaa fire 🔥 kila kitu kinaanza na habari Feki.Mambo yanayoendelea utadhani nchi hii hakuna Corona!
Hahahaha nilikereka sana sana. Sorrymwana anaongea kwa hasira sana
Hahahaha nimekuelewaEll mshana Huyu jamaa ana MWENENDO USIOFAA yaani ni Zinde[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda Mwenyekiti wakeBoni atawatia dole matakon, chezeni na kitu ingine.
Ama kwa hakika umeya ni habari nyingine, shavu limekua dodo, yaani linabonyea tu.
Lakini mitaro pale stendi kuu, mvua ikinyesha inaziba.
Hakuna kuwachangiaHehe pale mshambuliaji anaposhambuliwa ndipo anakuwa hivi, umegeuka bubu mzee, huna hoja.
Jamaa anapaswa kuhakikisha stendi kuu pale ubungo inakuwa alama ya utofauti kati ya Chadema na CCM ila yeye kawekeza kwenye kukuza mashavu badala ya kufanya anachopaswa kufanya.
Wapinzani mnapaswa kutumia nafasi mnazozipata, kama mnasubiria nafasi nyingine sidhani kama mtaipata.
Umepanik mkuu, maana unakoment kwenye uzi wako mwenyewe
Mbona hao wanashikana tena kwa kukumbatiana hiv hawaelewi kama wanatumalizia muda wa kutafakari Covid-19.Ushahidi huu hapa, Jacob ni Mayor, hao wendawazimu waliofoji waambieni waendelee kujitekeñya na kujichekesha. Waambie wapigane na Corona, mmeishindwa corona ndio mtaiweza Chadema? Poor you
kama huna bundle kakope usiulize nikupe summary. Mmenikera sana kwa kuhamisha attention! Nataka TCRA wafuatilie wajue huu ushenzi nani aliuanzisha.
Samahani sibishani na Wapuuzi LeoMbona hao wanashikana tena kwa kukumbatiana hiv hawaelewi kama wanatumalizia muda wa kutafakari Covid-19.
Kufukuzwa ulifukuzwa ila sema ili kulinda posho yako ya umea mmekaa kuikataa barua ambayo mliandika wenyewe. Shame on you.
Kwanza Jacob wewe utengeneze taharuki ya nini wakati umeisha kisiasa
Kwahiyo mazee ya kukurupuka yameingia choo cha kikeMayor Boniface hajafukuzwa Chadema...hajawahi hata kujadiliwa kwa suala lolote la nidhamu. Mkurugenzi Ubungo amefanyia kazi barua fake. Amesha fahamishwa na amesema ataondoa hiyo barua yake.
John Mallya,
Mwanasheria wa CHADEMA.
Madaraka ni matamu aisee, jamaa wananenepa tu, ila wananchi hali inabakia vile vile.
Yaani jamaa kawekeza kwenye kunenepa tu,
Pale hata stendi ya ubungo kashindwa kuikarabati, mvua ikinyesha maji yanajaa mule, kuchafu balaa.
kweli ukila nyama ya Binadamu huwezi kuacha, CiCiM bybadala mpambane na Corona Mnafanya ubwege,Tunaacha kupambana na Janga linalotukabili tuna fanya mazimgaombwe.Kama ni kweli hapa kinachoonekana ni kwamba CCM wanataka kumpoka Umeya Boniface. Halafu kama vikao hakuna maana yake hicho kilichofanyika kilifanyika katika utaratibu upi?
Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutengua maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua ya kumfukuza uanachama Boniface kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?
Mkuu Haya mbona ni MAPEPO TU yapo makini sana kwenye uovu.kwenye mema ni MAZEZETA NA MAJINGAMuda wa kutengeneza barua fake katikati ya janga la Corona mnautoa wapi?!
Mnajitahidi kutafuta michango huku mnawakera wachangiaji, sijui akili zenu ziko wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app