Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Meya wa Ubungo, Boniface Jacob adaiwa kufukuzwa uanachama CHADEMA. Aandikiwa barua ya kuvuliwa umeya... Yeye aongea

Hamna laana ktk unafiki. Kujitenga na makubaliano ulioridhia awali ni dhambi. Kikanuni Dr. Slaa ni mdhambi.
Dr Slaa ni mdhambi na dhambi hizo zimewapoteza kwenye ramani!🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
 
Ama kwa hakika umeya ni habari nyingine, shavu limekua dodo, yaani linabonyea tu.

Lakini mitaro pale stendi kuu, mvua ikinyesha inaziba.

We mwenyewe mtaro wako umeziba unafaa uzibuliwe.
 
Hehe pale mshambuliaji anaposhambuliwa ndipo anakuwa hivi, umegeuka bubu mzee, huna hoja.

Jamaa anapaswa kuhakikisha stendi kuu pale ubungo inakuwa alama ya utofauti kati ya Chadema na CCM ila yeye kawekeza kwenye kukuza mashavu badala ya kufanya anachopaswa kufanya.

Wapinzani mnapaswa kutumia nafasi mnazozipata, kama mnasubiria nafasi nyingine sidhani kama mtaipata.
Hakuna kuwachangia

In God we Trust
 
Ushahidi huu hapa, Jacob ni Mayor, hao wendawazimu waliofoji waambieni waendelee kujitekeñya na kujichekesha. Waambie wapigane na Corona, mmeishindwa corona ndio mtaiweza Chadema? Poor you

kama huna bundle kakope usiulize nikupe summary. Mmenikera sana kwa kuhamisha attention! Nataka TCRA wafuatilie wajue huu ushenzi nani aliuanzisha.
Mbona hao wanashikana tena kwa kukumbatiana hiv hawaelewi kama wanatumalizia muda wa kutafakari Covid-19.
Kufukuzwa ulifukuzwa ila sema ili kulinda posho yako ya umea mmekaa kuikataa barua ambayo mliandika wenyewe. Shame on you.
Kwanza Jacob wewe utengeneze taharuki ya nini wakati umeisha kisiasa
 
Samahani sibishani na Wapuuzi Leo
 
Kama ni kweli hapa kinachoonekana ni kwamba CCM wanataka kumpoka Umeya Boniface. Halafu kama vikao hakuna maana yake hicho kilichofanyika kilifanyika katika utaratibu upi?

Kitakachotokea ni kwamba Kamati Kuu ya CHADEMA itazuiliwa kufanya kikao kutengua maamuzi hayo. Mbio mbio za kupeleka hiyo barua ya kumfukuza uanachama Boniface kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo zinatokana na nini?
kweli ukila nyama ya Binadamu huwezi kuacha, CiCiM bybadala mpambane na Corona Mnafanya ubwege,Tunaacha kupambana na Janga linalotukabili tuna fanya mazimgaombwe.
 
Uzushi tu meya kajitokeza na viongozi wenzake wa kata hakuna kitu kama hicho ni uhuni tu was ccm
 
Back
Top Bottom