sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hio ilikuwa zamani sana siku hizi toka day one unakula mzigo vizuri tu, demu anaangalia mezani kama kuna mafuta anachukua anapaka au anakuuliza mafuta Yako wapi? Umepaka mafuta? Huko ntakupa ila Lete mafuta mazuri, anasema mafuta ya Nazi ndio mazuriNa kubwa kuzidi yote mara nyingi wanaume ndio huwa tunaamua game ichezwe vipi kuanzia location, staili, raundi ngapi na hata kwenye suala la kuvaa helmet (conddom), wanawake uwanjani huwa wana nguvu ndogo sana ya maamuzi.
Game za kwanza najua wengi huwa tunaipiga kwa ndom, ila kuna kipindi inafika unaanza kuingia peku peku.
Je, ni baada ya muda gani huwa unaingia peku.
kapimeni afya zenuNa kubwa kuzidi yote mara nyingi wanaume ndio huwa tunaamua game ichezwe vipi kuanzia location, staili, raundi ngapi na hata kwenye suala la kuvaa helmet (conddom), wanawake uwanjani huwa wana nguvu ndogo sana ya maamuzi.
Game za kwanza najua wengi huwa tunaipiga kwa ndom, ila kuna kipindi inafika unaanza kuingia peku peku.
Je, ni baada ya muda gani huwa unaingia peku.
Yule si alikuwa mpekuzi?Ninyi wenzangu nje ya mada kidogo
Mnamkumbuka Mwinyi Mpeku?
Tangu mwanzo kwa sababu lazima tukapime kwanzaNa kubwa kuzidi yote mara nyingi wanaume ndio huwa tunaamua game ichezwe vipi kuanzia location, staili, raundi ngapi na hata kwenye suala la kuvaa helmet (conddom), wanawake uwanjani huwa wana nguvu ndogo sana ya maamuzi.
Game za kwanza najua wengi huwa tunaipiga kwa ndom, ila kuna kipindi inafika unaanza kuingia peku peku.
Je, ni baada ya muda gani huwa unaingia peku.
Yawezekana, na Wakeze 🤣Yule si alikuwa mpekuzi?