Meza ya wanaume: Ni baada ya muda gani kwenye mahusiano mapya unaingia peku?

Meza ya wanaume: Ni baada ya muda gani kwenye mahusiano mapya unaingia peku?

Na kubwa kuzidi yote mara nyingi wanaume ndio huwa tunaamua game ichezwe vipi kuanzia location, staili, raundi ngapi na hata kwenye suala la kuvaa helmet (conddom), wanawake uwanjani huwa wana nguvu ndogo sana ya maamuzi.

Game za kwanza najua wengi huwa tunaipiga kwa ndom, ila kuna kipindi inafika unaanza kuingia peku peku.

Je, ni baada ya muda gani huwa unaingia peku.
Una hatari na hasara kubwa. Kwamba unadhani ukishapiga game nyingi kwa kutumia mpira na mkazoeana basi kama ana virus wa HIV au vijidudu vya maradhi mengine ya ngono, basi vitakuwa vimeshajua wewe ni mshikaji wa demu na havitakudhuru!!!
 
Back
Top Bottom