Nchi ina miaka 59 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani,Mda huu Tanzania ilipaswa iwe na kura ya veto iwe kwenye G5 kwani Tanzania kwa utajiri iliokuwanao ipo level ya America, German, China, Japan, India, Urusi, Canada, Oman, Qatar, England, na mataifa mengine tajiri zaidi, CCM inafuja pesa za walipa kodi, inazitumia kudidimiza demokrasia, pesa inayotumika kuwabambikia kesi, kununua wabunge madiwani, kudhoofisha chadema kuua upinzani na sasa ushetani mpya wa kupita bila kupingwa ni pesa nyingi sana, ni pesa ambazo zingeweza kujenga viwanda kila kata, vyuo vikuu kila wilaya, Hosptal za rufaa kubwa zenye madaktari Bingwa kila mkoa mpaka Nchi jirani kuja kutibiwa Tanzania, pesa zote za viwanda kaenda kuwekeza chato Airport na mbuga mpya ya wanyama ambao sasa wameliwa na wananchi wa vijijini vya jirani mpaka kukaribia kumalizika.