Uchaguzi 2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

Sasa hapa umemkosoa nini mtoa mada? Maana alikosea kuandika ila ujumbe ukawa emeulewa. Wewe ni mpumbavu huna akili.
 
Tupeane pole
 
Uchambuzi wa kijinga, ni bahati mbaya umeletwa Jamii Forum mahali ambapo wajinga ni wachache sana!
 
Chadema hawana jeuri hiyo , na tunakoelekea mgombea wenu atatema damu , kutembea ukipiga kampeni non stop Kwa miez miwili inahtaj mapafu ya mbwa na ugali wa Dona , Acha mchezee vitasa vya uso
 
Inawezekana sana. Kampeni za chadema 2010 na 2015 zilikuwa na hamasa sana kulinganisha na hizi za Lisu mwaka huu.
Hamna hamasa yyte , kibaya Zaid 60% ya wafuasi wa Chadema ni dead project, yaan hawana sifa au hawana mda wa kuhangaika kupiga kura ....so sad
 
Hivi zile Buku saba za Lumumba bado zipo kweli..
 
Alifikiri uraisi ni kula myama choma na bia akiwa ana hudumiwa na mzungu huko uberigiji?
Mmemdanganya kwenye mitandao nae akavimba kichwa sasa joto linamuwakia.
Kama ameshindwa kumuuliza Mbowe wapi pesa za wabunge zipo, basi wacha akione cha moto.
Huyo pimbi anatakiwa ale za uso za kutosha af arud Kwa Wale waliomtuma , jinga kabisa , huwez kutuuza kizembe hvo , af kumbe ndo lilikuwa linatumia elimu yake ya Sheria kuikandamiza nchi kwa kuwatetea mchwa, kwenye mikataba ya kinyonyaji ya madini tuliyoingia kichwa kichwa, ndo mana waliliwasha vyuma vya kutosha ...
 
Huo upumbavu hayupo wa kuufanya , Simba akifukuza panya huwa anatumia nguvu zote the same kama anawinda mbogo, Chadema wamejinasibu wako vizur so wanatakiwa wachapike Kwa kila silaha iliyopo mezani ....kila mmoja atumie kila aina ya resources alizo nazo , no mercy here, haki na usawa utazikuta mbinguni, hapa duniani ni mwendo wa sarakasi tuuu...na ukizingua unawashwa vyuma kama kawaida
 
CDM tangu waanze Kampeni sijawahi kusikia wakitoa hoja za msingi kama alivyokuwa Dr.Slaa.
Kwa tathmini ya haraka haraka, hawa jamaa wameshashindwa tayari. Tena wameshindwa kwa kipigo cha MBWA KOKO.
MAGUFULI ni moto wa NYUKLIA.
 
CCM ndiyo inatapatapa ushetani wa kupita bila kupingwa kwa njia haramu ni kupora haki za wapiga kura
 
Kirumba ilijaa wanafunzi na wawili kufa kwa kukanyagwa huku waliosombwa na mabasi wakikosa usafiri wakarejea makwao kwa miguu
 
Mabango yote ya upinzani TRA wameambiwa walipie kodi, ya ccm bure
CCM hawalipi kodi lazima ni wafujaji wa pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani na watanzania wasio na vyama.
 
Huo wimbo umechuja, mbona hamuongelei 8.9 billion michango ya wabunge walizokatwa kwa ajili ya kampeni Mbowe akala?
Trilion 1.5 mpaka kumtoa CAG kafara ipo wapi? Ununuzi wa Ndege kuna ufisadi mpaka kumzuia CAG kukanyaga huko, miradi yote mikubwa ina ufisadi mkubwa CCM ni ile ile Ukoo wa panya
 
CHADEMA haina mikakati ya kampeni, kila siku wanalalamika. Watashindwa vibaya.
Watashindwa na nani? Kwani CCM hawaihujumu chadema? Hutaki walalamike ili iweje? Yaani watendewe ubaya waache kulalamika?
 
CCM hawana pesa, pesa wanachota Hazina BOT kienyeji uthibitisho ni jinsi walivyonunua Ndege kienyeji, jinsi walivyojenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge , Assets nyingi zipi?
 
Hawa ni wale wanaCdm ambao akili zao Mbowe ameziroga.
Hawa ni wanaccm ambao akili zao ni sawa na za wale wanaoshinda gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz wakikaririshwa ujinga huku wakivuta Bangi.
 
Nchi ina miaka 59 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani,Mda huu Tanzania ilipaswa iwe na kura ya veto iwe kwenye G5 kwani Tanzania kwa utajiri iliokuwanao ipo level ya America, German, China, Japan, India, Urusi, Canada, Oman, Qatar, England, na mataifa mengine tajiri zaidi, CCM inafuja pesa za walipa kodi, inazitumia kudidimiza demokrasia, pesa inayotumika kuwabambikia kesi, kununua wabunge madiwani, kudhoofisha chadema kuua upinzani na sasa ushetani mpya wa kupita bila kupingwa ni pesa nyingi sana, ni pesa ambazo zingeweza kujenga viwanda kila kata, vyuo vikuu kila wilaya, Hosptal za rufaa kubwa zenye madaktari Bingwa kila mkoa mpaka Nchi jirani kuja kutibiwa Tanzania, pesa zote za viwanda kaenda kuwekeza chato Airport na mbuga mpya ya wanyama ambao sasa wameliwa na wananchi wa vijijini vya jirani mpaka kukaribia kumalizika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…