Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Mbowe nae hataki kabisa kisikia habari ya kuvunjika mguu wakati alipigwa rungu kwenye kiwiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa wanatapa-tapa sana hadi wameenda kumkokota Mama Maria Nyerere aje kuwaombea kura lakini akawadhalilisha jukwaani.
Yule mama ni mwasisi wa ccm, hivyo niwajibu wake kupigia kampeni chama cha mapinduziKipigo kipo pale pale
Ina maana hawakujua gharama halisi za uchaguzi wakajipanga? Miaka mitano yote wameshindwa kujipanga? Walisema kila mbunge anakatwa posho kwa ajili ya kampeni, ziko wapi hizo hela?Tuliwaambia CCM ipo well organized watu wakaja na ngojera za nyomi la wavuta bangi , CCM kirumba imejaa watu wakaja na ngojera et watoto wamesombwa , hii mbinu ya Chadema kutokubali uimara wa CCM itawacost Sana , CCM wanajua vizur kabisa Chadema hawawez kurun show effectively cse wapo poor funded.
Wengi ni wanafunzi na walimu waliohudhuria kwa SHURUTI, na mashabiki wa wasanii.. Wengi wao hawana habari na jiweTuliwaambia CCM ipo well organized watu wakaja na ngojera za nyomi la wavuta bangi , CCM kirumba imejaa watu wakaja na ngojera et watoto wamesombwa , hii mbinu ya Chadema kutokubali uimara wa CCM itawacost Sana , CCM wanajua vizur kabisa Chadema hawawez kurun show effectively cse wapo poor funded.
Acha mambo ya kitoto,sio kila hoja ya msingi unapaswa uipinge. Tumia akili wewe jibaba.
Ha ha ha... Wachumia tumbo wa ccm bhana, duh. Mama Maria kawaumbua
Una matatizo kichwani , rudi kafanye utafti upya achana na propaganda za mitandaoni , mtachakazwa vibaya mno, hakuna mgombea wa kumcatch JPM kanda ya ziwa hasa shinyanga, Geita, Tabora , Mwanza , mikoa ambayo huamua hatima ya mgombea uraisi pia , ukipigwa hii mikoa nenda kalale biashara imeisha .....Wengi ni wanafunzi na walimu waliohudhuria kwa SHURUTI, na mashabiki wa wasanii.. Wengi wao hawana habari na jiwe
Ahaaa! Kwa hiyo hata sisi watu wazima ambao tunachoangalia ni kusema ukweli tupo Uvccm? Tunaweka hoja za msingi bila kujali chama kwa maslahi ya taifa letu.Hivi Uvccm mnaweza kabisa kuja humu jukwaani na hoja za msingi kabisa!! Nyinyi kazi yenu ni moja tu; kubweka pale mnapotakiwa kubweka na wakuu wenu. Basi!
halafu kweli jamani.Bw. Amsterdam kakimbilia wapi? Au alikuwa ni yeye mwenyewe anajifanya Amsterdam ?Ndugu zangu,
Sisi waswahili huwa tuna msemo ''ukiona kenge anatoa damu masikioni ujue anakufa''..hali ipo hivi, yawapasa muelewe. Hakuna mtu anayeweza kusema ''nimeshindwa'' au ''tumeshindwa'' hasa ikiwa alishajigamba na kujimwambafai kuwa anashinda saa mbili asubuhi.
Kauli za ''kiutu uzima'' ni kama ''hatuna pesa za kampeni'', ''mguu wangu haukunjuki'' ''habaru zangu hazirushwi'',''mshindani wangu anahela sana''.
Kwa wale tunaojua hesabu za ''cross multiplications'' tunasema ''ikiwa Tundu kafanya mikutano 10 ndani ya siku 10 basi ndani ya siku 60 anatafanya mikutano 60''
Ukweli ni kuwa angalau ya watanzania asilimia 70 wanaishi vijijini sasa kama kishagundua kuwa hawezi kukutana na kushawishi wanachi walio wengi wampigie kura, ni dhahiri kishaanguka.
Wakati umefika ambao Robert Amsterdam amejichokea na kutokomea bila kuandika ''vijibarua vyake uchwara''.
Uraisi sio Urahisi.
Hivi ni nani alikuwa anawafundisha cha kusema?Mama Maria Nyere alipewa heshima tu aje kusheherekea matunda ya chama alichoasisi mume wake. Na kuomba kura kwa watanzania kama mama wa taifa ni jambo jema pia.
Kibajaji aliwaonya tangu mwaka jana kuwa; Ni bora tufanye uchaguzi wa wabunge ili kuokoa pesa za serikali na tumuache mAGUFULI aendelee na kazi huku akisubiri kuapishwa, haya machedema yakajigamba kuwa yana ubavu.
Sasa maji ya shingo. Tunawapa ONYO chadema wasipopata kura asilimia 5% ya kura zote tutawashitaki ICC kwa kosa la uhalifu wa uchumi wa nchi
Swali gani hili? Akina nani walikuwa wanafundishwa kusema fafanua
Tatizo yeye aliwaaminisha hela itatoka kwa "mabeberu" wakampa kianzio tu na DJ hataki kutoa hela kwenye hii biashara kichaaKnockout ya karne. Pesa kwisha