Mfahamu Andreas Felipe Ballesteros Uribe Raia wa Colombia aliyekaa Keko mahabusu miaka 8 kwa kesi ya dawa za kulevya

Kwa nini akae miaka yote hiyo mahabusu? ilitakiwa ahukumiwe mapema na atumikie kifungo chake. Mbona hizo kesi upelelezi hadi hukumu huwa hazichukui muda mrefu hivyo?
 
Kwa nini akae miaka yote hiyo mahabusu? ilitakiwa ahukumiwe mapema na atumikie kifungo chake. Mbona hizo kesi upelelezi hadi hukumu huwa hazichukui muda mrefu hivyo?
Ukiona hivi ni aliwekewa mtego ili atoe pesa. Kuna watu hawaogopi kukuumiza mradi uwapatie pesa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ