inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
National geographicNi channel namba ngapi chief hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
National geographicNi channel namba ngapi chief hii?
Sawa mkuuNational geographic
Kwa nini akae miaka yote hiyo mahabusu? ilitakiwa ahukumiwe mapema na atumikie kifungo chake. Mbona hizo kesi upelelezi hadi hukumu huwa hazichukui muda mrefu hivyo?Tena ashukuru mungu kuna Sheria ya plea bargaining huyu jamaaa angefia jela alikuwa na gram 958 alikutwa nazo kwenye suruali na nyingine alikuwa kameza ziilitolewa kwa njia ya choo maalum pale JNIA huyu alitumwa kuleta madawa ya kulevya bongo baada ya kushindwa kulipa deni alilokuwa anadaiwa huko kwao ,alikuwa anamdai akammwambia kama huwezi kunilipa deni langu nisafirishie mzigo wangu Dar es salaam.Ndio kukamatwa kwake.otherwise ni mtu poa tu na inaonekana lilikuwa ni ndio mara ya kwanza huko kwao Colombia ndugu yake aliwaaminisha kwamba anaonewa hapa Tanzania lakini alipohojiwa na kituo kimoja cha TV kila raia aliyechangia walimwita muongo wakihusianisha story yake ya kuja kutalii Tanzania kusherekea birthday akiacha familia.hata HIVYO ni maisha tu ni mtu poa tu mshikaji sana pale KEKO.
Ukiona hivi ni aliwekewa mtego ili atoe pesa. Kuna watu hawaogopi kukuumiza mradi uwapatie pesa tu.Kwa nini akae miaka yote hiyo mahabusu? ilitakiwa ahukumiwe mapema na atumikie kifungo chake. Mbona hizo kesi upelelezi hadi hukumu huwa hazichukui muda mrefu hivyo?