Mfahamu Andrew Tate, mtu anayetafutwa sana duniani kupitia Google

Hii kesi watachomokaje yeye na ndugu yake? Au ndio mizengwe wanatengenezewa.
 
Hayo makashfa ya kumchafua tu, hayana ukweli.
Subiri wamchape mvua ya miaka 30 ndiyo utasema wanamchafua. Mtu mbakaji na yeye mwenyewe alikiri kakimbia UK kuogopa sheria za UK halafu wewe umejichimbia kimbiji unasema wanamchafua🤔
 
Subiri wamchape mvua ya miaka 30 ndiyo utasema wanamchafua. Mtu mbakaji na yeye mwenyewe alikiri kakimbia UK kuogopa sheria za UK halafu wewe umejichimbia kimbiji unasema wanamchafua[emoji848]
Kimbiji ipo nchi gani ?
 
Ameshakamatwa huko Romania,alipost tweet kwamba yeye hawezi Ku recycle pizza boxes kama njia ya kutunza mazingira,Sasa akajibiwa na Kabinti fulani mwanahatakati wa mazingira anaitwa Greta Thunburg, katika majibizano Ndugu Andrew akapost box la Pizza,sasa kumbe alikuwa anatafutwa na mamlaka ila walikuwa hawajui alipo,sasa kupitia lile box ile sehemu ya barcode polisi wa Romania wakaweza kujua mahali alipo.

Makosa yake;Anatuhumiwa Kusafirisha binadamu na Ubakaji.

Ngoja tuone mwisho wake.
 
Unaweza pia kusearch interview zake na Piers Morgan hapo YouTube ili kumuelewa zaidi.

NB: Uwe unajua kiingereza vizuri ndo utaenjoy
 
Siendi kum google wala nini? Asinipotezee muda,
 
Binafsi huwa namfuatilia sana Tate.
kuna mwamba mwingine anaitwa ANDREW KIBE, huyu ni mkenya anaeishi Marekani. KIFEEEEE a.k.a mr lambistic. Wanaume msiojielewa hebu wasikilizen hawa watu nyuzi za ajabu ajabu zipungue jukwaa la mahusiano
 
Duh wenzetu wako mbali sana kwenye investigation field.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…