yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
Fujo ganiAnapacha wake huyu yaani copy kabisa na yeye anafanya shughuli za hivi hivi fujo mtandaoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fujo ganiAnapacha wake huyu yaani copy kabisa na yeye anafanya shughuli za hivi hivi fujo mtandaoni.
Itakua katumia google translate
British-American KICKBOXER Andrew Tate has become one of today’s biggest influencers by posting divisive content that calls into question the legitimacy of mental health, a woman’s role in society, and what it means to be a man.Motivesheni spika
Ongamshi Oshie, ni Mzaliwa wa UshotoNi Msambaa huyo?
At least umeelewekaHuyu ni miongoni mwa mataikuni (tycoons) wa falsafa za uanaume yaani Masculinity ambayo ni kinyume cha Feminity.
Ana champion eneo hilo na amekuwa ni Masculinism agent kupitia movement inayoitwa MGTOW movement ambayo ni kinyume cha Feminism na ni mwarobaini wa feminists [emoji23][emoji23]
Imagine wanavyomchukia huyu jamaa. Wapo wengi kama yeye ila ukienda katika social media wanawaficha na kuwaharibiwa nguvu ya kusambaa kwa kasi maana mafeminists wameshagundua aina hii ya role model itaifumbua macho jamii juu ya hasara za Feminists na kuwapuuzia ajenda zao.