Huyu ni miongoni mwa mataikuni (tycoons) wa falsafa za uanaume yaani Masculinity ambayo ni kinyume cha Feminity.
Ana champion eneo hilo na amekuwa ni Masculinism agent kupitia movement inayoitwa MGTOW movement ambayo ni kinyume cha Feminism na ni mwarobaini wa feminists [emoji23][emoji23]
Imagine wanavyomchukia huyu jamaa. Wapo wengi kama yeye ila ukienda katika social media wanawaficha na kuwaharibiwa nguvu ya kusambaa kwa kasi maana mafeminists wameshagundua aina hii ya role model itaifumbua macho jamii juu ya hasara za Feminists na kuwapuuzia ajenda zao.