Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu

Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2

View attachment 3188750

Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel inayoitwa Peace TV Dk. Nakir anatafutwa na mamlaka za kisheria za nchi yake ya India kwa kutoa mahubiri yanayochochea ugaidi na chuki katika ya makundi tofauti ya Dini

Pia amepigwa marufuku kuingia nchi za Bangladesh, Sri Lanka, Uingereza Canada, na channel yake ya Peace Tv kupigwa marufuku kuonyeshwa na Tv yoyote kutokana na mahubiri yake kuonekana hayafai

Mojawapo ya kauli tata alizowahi kunukuliwa Dk. Zakir Naik ni pamoja na
"Kama bin Laden anapigana na maadui wa Uislamu, mimi namuunga mkono. Ikiwa anaitisha Marekani—gaidi mkubwa zaidi kuliko wote—mimi niko pamoja naye. Kila Muislamu anapaswa kuwa gaidi."

Dk.Nakir pia anatajwa kuwa mahubiri yake yalichochea shambulio la kigaidi lililotokea Sri Lanka mwaka 2019 siku ya pasaka, na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Dhaka mwaka Bangladesh mwaka 2016
Na kwa vile Rais aliyepo ni wale wale, hawatafsnya kitu, Haya Mambo ya mihadhara ya kusema vibaya manabii wa dini nyingine, yalipigwa marufuku miaka ya 90! Sasa yanarudi kwa nguvu, wakimaliza wamruhusu Mwamposa akafanye kongsmano la kukanyaga mafuta uwanja wa amani
 
Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu

Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2

View attachment 3188750

Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel inayoitwa Peace TV Dk. Nakir anatafutwa na mamlaka za kisheria za nchi yake ya India kwa kutoa mahubiri yanayochochea ugaidi na chuki katika ya makundi tofauti ya Dini

Pia amepigwa marufuku kuingia nchi za Bangladesh, Sri Lanka, Uingereza Canada, na channel yake ya Peace Tv kupigwa marufuku kuonyeshwa na Tv yoyote kutokana na mahubiri yake kuonekana hayafai

Mojawapo ya kauli tata alizowahi kunukuliwa Dk. Zakir Naik ni pamoja na
"Kama bin Laden anapigana na maadui wa Uislamu, mimi namuunga mkono. Ikiwa anaitisha Marekani—gaidi mkubwa zaidi kuliko wote—mimi niko pamoja naye. Kila Muislamu anapaswa kuwa gaidi."

Dk.Nakir pia anatajwa kuwa mahubiri yake yalichochea shambulio la kigaidi lililotokea Sri Lanka mwaka 2019 siku ya pasaka, na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Dhaka mwaka Bangladesh mwaka 2016
Ndo keshafika sasa, hutaki hama nchi
 
Huyu ni GAIDI ,Anatakiwa akamatwe apakiwe kwenye ndege akakabidhiwe kwa Serikali ya India

ila kwakuwa nchi hii Ina udini ataachwa abwabwaje na kueneza UGAIDI nchini,

Matokeo ya mbegu za UGAIDI anazopanda zitaonekana baadae
Keshafika.
Hutaki hamia Vatican
 
Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu

Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2

View attachment 3188750

Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel inayoitwa Peace TV Dk. Nakir anatafutwa na mamlaka za kisheria za nchi yake ya India kwa kutoa mahubiri yanayochochea ugaidi na chuki katika ya makundi tofauti ya Dini

Pia amepigwa marufuku kuingia nchi za Bangladesh, Sri Lanka, Uingereza Canada, na channel yake ya Peace Tv kupigwa marufuku kuonyeshwa na Tv yoyote kutokana na mahubiri yake kuonekana hayafai

Mojawapo ya kauli tata alizowahi kunukuliwa Dk. Zakir Naik ni pamoja na
"Kama bin Laden anapigana na maadui wa Uislamu, mimi namuunga mkono. Ikiwa anaitisha Marekani—gaidi mkubwa zaidi kuliko wote—mimi niko pamoja naye. Kila Muislamu anapaswa kuwa gaidi."

Dk.Nakir pia anatajwa kuwa mahubiri yake yalichochea shambulio la kigaidi lililotokea Sri Lanka mwaka 2019 siku ya pasaka, na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Dhaka mwaka Bangladesh mwaka 2016
Ongeza hii
Publications:

1. "Islam and Modern Science"

2. "The Quran and Modern Science: Compatible or Incompatible?"

3. "Is Terrorism a Muslim Monopoly?"

4. "Concept of God in Major Religions"

5. "Women's Rights in Islam"
 
Nashindwa kuelewa alialikwa na nani kuja hapa nchini? Huyu Jamaa hana akili kabisa ni sawa na Waislam walio wengi, anaongeleaga vitu asivyo na uhakika navyo, yaani ni mtu wa mihemko tu.
Pigeni kelele weeeeee!
Lkn ndo keshafika na atafanya mihadhara yake yote na nyie hamna cha kumfanya
 
Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu

Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2

View attachment 3188750

Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel inayoitwa Peace TV Dk. Nakir anatafutwa na mamlaka za kisheria za nchi yake ya India kwa kutoa mahubiri yanayochochea ugaidi na chuki katika ya makundi tofauti ya Dini

Pia amepigwa marufuku kuingia nchi za Bangladesh, Sri Lanka, Uingereza Canada, na channel yake ya Peace Tv kupigwa marufuku kuonyeshwa na Tv yoyote kutokana na mahubiri yake kuonekana hayafai

Mojawapo ya kauli tata alizowahi kunukuliwa Dk. Zakir Naik ni pamoja na
"Kama bin Laden anapigana na maadui wa Uislamu, mimi namuunga mkono. Ikiwa anaitisha Marekani—gaidi mkubwa zaidi kuliko wote—mimi niko pamoja naye. Kila Muislamu anapaswa kuwa gaidi."

Dk.Nakir pia anatajwa kuwa mahubiri yake yalichochea shambulio la kigaidi lililotokea Sri Lanka mwaka 2019 siku ya pasaka, na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Dhaka mwaka Bangladesh mwaka 2016
Huyo wa kushoto ni NAHDI wa ISLAMIC FOUNDATION?
 
Magaidi wanajulikana duniani ni WA Imani Gani hivyo huwezi kudanganya mtu uzuri magaidi huwa wanavizia matukio sababu hawana ubavu
Hapa chini ni baadhi ya watu maarufu ambao wanadaiwa kuwa wamevutiwa na mafundisho ya Dr. Zakir Naik na hatimaye walikubali kuingia Uislamu:

1. Jamal (Austin)

Austin Jamal ni mmoja wa watu maarufu ambaye alitaja Dr. Zakir Naik kama chanzo cha kumshawishi kuingia Uislamu. Austin Jamal alikuwa mtaalamu wa michezo na alikuwa na uhusiano na dini nyingine kabla ya kujiunga na Uislamu.

2. Muhammad (Cassius) Clay Jr. (Muhammad Ali)

Ingawa si Dr. Naik pekee aliyehusika, baadhi ya mashuhuri kama Muhammad Ali, bingwa wa ndondi maarufu, walionyesha kupendezwa na mafundisho ya Dr. Naik kuhusu dini na walifanya uamuzi wa kujiunga na Uislamu baada ya kupata mwongozo kutoka kwa watu kama Dr. Naik na wengine.

3. Yousaf (Islamic Scholar)

Mwandishi na mtaalamu maarufu wa masuala ya dini, Yousaf anasemekana kuwa mmoja wa watu aliosilimisha Dr. Naik kupitia ufanisi wake katika kuelezea Uislamu na mabadiliko ya kiroho ambayo alikutana nayo.

---

Athari za Zakir Naik:

Dr. Naik anajulikana kwa ustadi wake wa kuelezea tofauti za dini na kutoa mifano ya kisayansi inayothibitisha mafundisho ya Uislamu. Hii imekuwa na athari kubwa katika kuhamasisha watu wengi duniani, hasa kupitia Peace TV na hotuba zake. Pia, ameweza kufungua milango ya mazungumzo ya kidini ambayo yamepelekea baadhi ya watu kujiunga na Uislamu.

Madhumuni ya Misingi ya Mabadiliko:

Dr. Naik hutumia mitindo mbalimbali ya kielimu kutoa mifano ya mifumo mbalimbali ya dini, na katika hali nyingi anajikita katika kutoa masuala ya tafsiri ya kisasa na dini kuhusu sayansi, haki za binadamu, na amani, hivyo kushawishi wengi kubadili imani zao.
 
Huyu mtu anatafutwa na serikali ya India na imetaarifiwa anaingia nchini kufundisha ugaidi naomba serikali yetu ilifanyie kazi hili swala sababu sisi raia wema tunapenda amani
20241014_035749.jpg
 
Kuna preacher wangapi wakristo wanakuja Nchi hii? Ushawahi sikia waisilamu wakikataa wasije? Why mnaogopa midahalo?
preacher gani wa kikristo uliyesikia ni gaidi na anatafutwa na nchi yake akajibu mashitaka?
 
Baadhi ya Wakatoliki maarufu waliobadili dini na kujiunga na Uislamu kutokana na hotuba na ushawishi wa Dr. Zakir Naik ni:

1. Abdullah (Lee)

Lee, ambaye alikuwa Mkatoliki, alikiri kupitia video na mahojiano kwamba alijua mengi kuhusu Uislamu kupitia Dr. Zakir Naik na aligundua kwamba masuala kadhaa aliyoona katika mafundisho ya Uislamu yalikuwa yana mantiki zaidi kwa upande wa kisayansi na kihistoria. Hii ilimshawishi kubadili dini na kuwa Muislamu.

2. Dr. Laurence Brown

Dr. Laurence Brown ni daktari wa Marekani ambaye alikulia kwenye familia ya Kikristu na aliishi maisha ya Kikristu ya kawaida. Alikuwa na maswali mengi kuhusu imani na masuala ya kidini, lakini alikuja kugundua ukweli na mashiko ya Uislamu baada ya kuangalia hotuba za Dr. Zakir Naik. Aliingia Uislamu na baadaye akaanza kuwa mtetezi wa Uislamu, akichora majina na maandiko yake kama sehemu ya kujitolea kwa jamii ya Kiislamu.

3. Dr. John (Muhammad)

Dr. John alikuwa Mkatoliki na alikuwa na maswali mengi kuhusu imani ya Kikristu. Aliguswa sana na mifano ya kisayansi na ya kidini ambayo Dr. Zakir Naik alitoa kuhusu Quran na masuala ya kisasa. Hii ilimshawishi kuingia Uislamu na kujiita Muhammad.

---

Sababu za Kubadili Dini:

1. Mafundisho ya Sayansi katika Quran:
Dr. Zakir Naik anajulikana kwa kuzungumzia uhusiano kati ya sayansi na mafundisho ya dini, jambo ambalo linaathiri watu wengi kutoka dini mbalimbali, wakiwemo Wakatoliki. Anaelezea jinsi Quran inavyohusiana na ugunduzi wa kisayansi, jambo ambalo linawavutia wengi.

2. Ulinganisho wa Dini:
Dr. Naik anahusisha mifano ya Biblia na Quran, na mara nyingi hutoa ulinganisho wa amri za Mungu katika dini mbalimbali, ikiwemo Uislamu na Ukristo. Hii inawasaidia watu kuona uhusiano kati ya mafundisho ya dini hizo na kuleta uelewa mzuri wa kidini
 
Tatizo anabishana hadi na waislam wenzake. Wanadai anapindisha maandiko yao
 
Magaidi wanajulikana duniani ni WA Imani Gani hivyo huwezi kudanganya mtu uzuri magaidi huwa wanavizia matukio sababu hawana ubavu
Kwahiyo wewe unapinga kuwa Osama ugaidi hajafundishwa na Marekani?

Hauna ulijualo katika hii Dunia kakojeo ukalale
 
Back
Top Bottom