Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

Nafikiri Rais kamruhusu, la sivyo asingekubaliwa. Sasa tujiulize kwa nini aruhusiwe? Inasikitisha
 
Western culture is haram to muslims..
20241014_035749.jpg

Huyu gaidi hatumtaki nchini kwetu.
 
Achana na ndacha Kuna huyu jamaa anaitwa Yohana omary (Utadhani yahya) ni balaa ingine mazinge ana muogopa kama ukoma
Mazinge ni mweupe sana ,anachojua ni mbwembwe tu

Mazinge ana njaa sana ,sasa hivi kaona Bora awe tapeli na yule sharifu firdaus wana kilinge Chao wanauza mafuta ,maji na kufanya utapeli ,usiku wanaenda wanafukia mapaka ,kesho wanasema Kuna uchawi

Jamaa alikuwa anamuonea wivu sana mwamposa anavyopiga pesa hasa za waislamu wenzake
 
Niliona clip wakiuza mafuta na maji Tena mwamposa anayanadi kuliko hata mwamposa anavyo pigia debe wese lake
 
Mazinge ni tapeli ,ameamua kufungua kilinge na dogo mmoja anaitwa firdaus wanauza maji,mafuta na utapeli mwingine
Mazinge hamna akili muislamu anayemkubali ni wa mtoro, vijibweni etc
 
Niliona clip wakiuza mafuta na maji Tena mwamposa anayanadi kuliko hata mwamposa anavyo pigia debe wese lake
Kitambo tu alishaonesha anamuonea wivu mwamposa,kwenye mihadhara alikuwa anawapiga bit na hadithi za kutisha waislamu anakusanya pesa ,nikasema huyu jamaa ni njaa tu

Nilipoona anauza mafuta na maji na yule dogo firdaus hata sikushangaa

Njaa mbaya sana
 
Hivi huu ukumbi wa diamond jubilee si ndio wslifanyiaga ule mkutano wa mifumo krito ulioongozwa na Ilunga kapungu ( laana tulah) na matokeo yake ndipo viongozi wa dini na serikali walianza kushambuliwa?
 
Ww jamaa una mavi kichwani huyu jamaa mpaka ana fika hapa nchi kapita Uganda na Kenya na pote kafanya muhadhara vipi na huko kuna viongozi wenye udini?
Hizo chuki zenu zina wafanya muonekane wapumbavu.
Tukana ,ila mm sitakurudishia tusi

Huyo Jamaa ni GAIDI

Dk. Zakir Naik anasema

"Kama bin Laden anapigana na maadui wa Uislamu, mimi namuunga mkono. Ikiwa anaitisha Marekani—gaidi mkubwa zaidi kuliko wote—mimi niko pamoja naye. Kila Muislamu anapaswa kuwa gaidi."
 
Back
Top Bottom