OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nafikiri Rais kamruhusu, la sivyo asingekubaliwa. Sasa tujiulize kwa nini aruhusiwe? Inasikitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazinge hamna kitu mule ana makelele tu na kujikweza kwingiAchana na ndacha Kuna huyu jamaa anaitwa Yohana omary (Utadhani yahya) ni balaa ingine mazinge ana muogopa kama ukoma
Mazinge ni mweupe sana ,anachojua ni mbwembwe tuAchana na ndacha Kuna huyu jamaa anaitwa Yohana omary (Utadhani yahya) ni balaa ingine mazinge ana muogopa kama ukoma
Gaidi ni gaidi tu hata mbowe ni Gaidi vilevileKesi ya ugaidi according to India? Ama jumuia ya kimataifa? UNAFKIRI angekua Gaidi Malyasia wangempokea? Kama mbowe anavyoitwa Gaidi ndio Zakir Naik anavyoitwa, India kuna wapuuzi CCM wa kasome,
Hatari kwa taifaNafikiri Rais kamruhusu, la sivyo asingekubaliwa. Sasa tujiulize kwa nini aruhusiwe? Inasikitisha
Mazinge ni tapeli ,ameamua kufungua kilinge na dogo mmoja anaitwa firdaus wanauza maji,mafuta na utapeli mwingineMazinge hamna kitu mule ana makelele tu na kujikweza kwingi
Niliona clip wakiuza mafuta na maji Tena mwamposa anayanadi kuliko hata mwamposa anavyo pigia debe wese lakeMazinge ni mweupe sana ,anachojua ni mbwembwe tu
Mazinge ana njaa sana ,sasa hivi kaona Bora awe tapeli na yule sharifu firdaus wana kilinge Chao wanauza mafuta ,maji na kufanya utapeli ,usiku wanaenda wanafukia mapaka ,kesho wanasema Kuna uchawi
Jamaa alikuwa anamuonea wivu sana mwamposa anavyopiga pesa hasa za waislamu wenzake
Mazinge hamna akili muislamu anayemkubali ni wa mtoro, vijibweni etcMazinge ni tapeli ,ameamua kufungua kilinge na dogo mmoja anaitwa firdaus wanauza maji,mafuta na utapeli mwingine
Amebaki kukakamaa kulazimisha na kujichekesha, mwisho ameangukia kuwa tapeliMazinge hamna akili muislamu anayemkubali ni wa mtoro, vijibweni etc
Waislamu wanamjubali vibaya mnoMazinge hamna kitu mule ana makelele tu na kujikweza kwingi
Kitambo tu alishaonesha anamuonea wivu mwamposa,kwenye mihadhara alikuwa anawapiga bit na hadithi za kutisha waislamu anakusanya pesa ,nikasema huyu jamaa ni njaa tuNiliona clip wakiuza mafuta na maji Tena mwamposa anayanadi kuliko hata mwamposa anavyo pigia debe wese lake
Waislamu mtu anayepindisha pindisha maandiko ya biblia na kuyakosoa kwao wanamuona HeroWaislamu wanamjubali vibaya mno
Yule mzee tapeli tapeli tu.Anawalaghai waislamuMazinge ni tapeli ,ameamua kufungua kilinge na dogo mmoja anaitwa firdaus wanauza maji,mafuta na utapeli mwingine
Tukana ,ila mm sitakurudishia tusiWw jamaa una mavi kichwani huyu jamaa mpaka ana fika hapa nchi kapita Uganda na Kenya na pote kafanya muhadhara vipi na huko kuna viongozi wenye udini?
Hizo chuki zenu zina wafanya muonekane wapumbavu.
Hilo gaidi lisitue nchini aisee
Mungu anamuumbua sasa ,jamaa amekuwa muuza mafuta ,maji na utapeli wa uchawi fakeYule mzee tapeli tapeli tu.Anawalaghai waislamu