Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

Yanavyocheka mbele ya camera kama watu wa maana vile kumbe ni ndugu zake shetani kabisa
 
Mzee siku hizi dunia imerahisishwa, maana habari nyingi zinawrkwa wazi mtandaoni, unaweza kuhakiki taarifa mtandaoni...kama huyu jamaa hatafutwi na nchi yake kwa makosa mbalimbali na pia amepihwa marufuku kuingia nchi nyingi
 
Kuna preacher wangapi wakristo wanakuja Nchi hii? Ushawahi sikia waisilamu wakikataa wasije? Why mnaogopa midahalo?
Jiite mwenyewe kuwa wewe ni punguani kwenye masuala ya kidini.

Huwa hakuna kitu kinachoitwa 'mdahalo' kwenye masuala ya kidini. Kwenye dini kuna mihadhara au mahubiri.

Hilo gaidi linalosema kuwa "kila muidlam anatakiwa kuwa gaidi', lisiguse ardhi yetu.
 
Dini zina facts na logic ??
Nyote mnabishania kitu ambacho hamjawahi kukiona na hakithibitishiki halafu unasema facts na logic.
 
Magalatia yanasema kuwa wao hawependi mambo ya kulalamika Cha ajabu wiki nzima wanapayuka tu kuzungumzia kitu kimoja.

Poor Galatians..
Ona ulivyokosa maarifa na uelewa. Hujui hata wagalatia ni nani.

Wagalatia na waafeso, wote hao ni waturuki.

Wakorinto ni Wagiriki.

Shule ndogo hiyo imusaidie ili usidharaurike kila mara.
 
Onesha sehemu yoyote aliyosema hayo maneno, hicho ndio kipaji chenu wakristo wa JF kusingizia watu

According to James 3:15-16, the practice of slander is demonic. People who engage in slandering other people are being led by demons—not the Spirit of God

Sasa jiulize we ni mfuasi wa Mungu ama wa shetani kusingizia mtu kitu ambacho hajasema.
 



View: https://youtu.be/Bxk5AAA5FbI?si=kGFRQ0NiAxJKd5Nj
Namnukuu maneno anayoongea kwenye video. “If bin Laden is fighting enemies of Islam, I am for him. If he is terrorizing America—the terrorist, biggest terrorist—I am with him. Every Muslim should be a terrorist. The thing is that if he is terrorizing the terrorist, he is following Islam
 
Mbona huyo zakir hatujamfahamu? Ebu muelezee vizuri
 
Endelea mpaka mwisho video haijaishia hapo, tuwe waungwana aisee
 
hivi leo watu na usomi wao kwel bado wanaamin osama alikua gaidi kweli? bas they are still ignorantic of geopolitical. hiv jamaa wa syria yule jolan bado hafahamiki? lama anafahamika bas osama is the same
 
halafu linacheka tu...

magaidi wengi wana sura za kutabasamu kabla hawajatenda dhambi ya kuua

Takbiiiir
 
Hii si ndiyo kazi ya usalama wa Taifa au mimi ni mgeni hapa sijui?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa unaelewa ungekaa kimya Islam ni heresy na occoult kqa ujumla qake. Dini dininpekee inayovua hadi chupi kwenye ibada zingine,. Ndio dini pekee ambayo Jin wanaabudu nayo na kusaliwa mwanza wa ibada yao. Dini pekee ambayo kwa mwili watu humrushia mawe shetani kila mwaka lkn hakuna taarifa ya kujeruhiwa kwake. Acheni mambo ya Jesus Vs Mohmad. Hubiri ya kwako . Hii kama wameipenda aruhusu watu wajibu hoja zake atakazoleta .
Kimsingi Movement za mpe aya zina mchango mdogo mno katika kumshawishi mtu kuamini.
Lakini aliyeita Qur'an kuwa ni Aya za Shetani mbona nchi za kiarabu zlitaka kichwa chake?
Narudia wala mi sioni impact ya kuogofya kwa jamii ya Kikristo na nitawashangaa wakihamaki huo ni uhuru wao waachwe ila kijamii impact ipo maana mianya ya kusema dini nyingine kwa mtindo wowote sasa serkali isije kuegemea upande. Kama sio leo Wakristo watajibu, kama sio utawala huu watajibu utawala mwingine.
Mungu hapiganiwi na wanadamu bali hujipigania
 
Kwa hiyo ana kuja kuchochea chuki?
Hivi unajuwa chochote kuhusu huyu mtu Dr. Zakir, wewe unafikiri anawindwa kwa jailli gani? Huyu jamaa ilibidii asipewe visa ya kuja Tanzania kama tunataka amani, subirini kuona vijana wa Kiislam wakiongezeka kujiunga na Makundi ya ugaidi baada ya yeye kuondka hapa nchini.
 
Hapa kuna ubalozi wa India kwanini wasifanye yao wakamrejesha kwao huyu gaidi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…