Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rwanda ni ukabila tuWaulize warwanda watakujibu
Duh...Yanavyocheka mbele ya camera kama watu wa maana vile kumbe ni ndugu zake shetani kabisa
wale mapadri waliingiza ukabila, tatizo lao iliktwa ni ukabila ndio wakauanaWaulize warwanda watakujibu
Mzee siku hizi dunia imerahisishwa, maana habari nyingi zinawrkwa wazi mtandaoni, unaweza kuhakiki taarifa mtandaoni...kama huyu jamaa hatafutwi na nchi yake kwa makosa mbalimbali na pia amepihwa marufuku kuingia nchi nyingiSasa hapa ugaidi unatetewaje, acheni kuamni hizo propaganda mnazopewa..
We unafikiri hayo yote mnayoyasema yangekuwa kweli angekuwa anapita humo mote anamopita?
Mnapewa maneno nanyi mnayala bila kuangalia.
Ana pastoti huyo anazotumia kusafiria kwenda nchi mbalimbali, unafikiri hayo yanayosemwa yangekuwa ya kweli nani angempa pastoti huyo..?
Zakuambiwa changanya na zako acheni umbumbumbu
Jiite mwenyewe kuwa wewe ni punguani kwenye masuala ya kidini.Kuna preacher wangapi wakristo wanakuja Nchi hii? Ushawahi sikia waisilamu wakikataa wasije? Why mnaogopa midahalo?
Naunga mkono hoja na ikianza kuchangamka wasitafute mchawi watulia waone show.Wacha nchi ichangamke
Dini zina facts na logic ??Mkuu usitangulize chuki na uongo huyu jamaa anapendwa sanaa na nchi nyingi kwa njia yake ya mahubili ya dialogue na debate, wiki ilio pita alikua Uganada na Kenya India hamtafuti ila tu hawataki mahubiri yake kwasababu anubisha sanaa dini yao ya Hindu kwa debates zake za dini
Wakuristo wengi hampendi kqasababu hawana hoja za debate yule ni mziki mnene kwa mbumbu wa kikuristo wa Tanzania wanao fuata dini yao bila facts na logic
Ona ulivyokosa maarifa na uelewa. Hujui hata wagalatia ni nani.Magalatia yanasema kuwa wao hawependi mambo ya kulalamika Cha ajabu wiki nzima wanapayuka tu kuzungumzia kitu kimoja.
Poor Galatians..
Onesha sehemu yoyote aliyosema hayo maneno, hicho ndio kipaji chenu wakristo wa JF kusingizia watuJiite mwenyewe kuwa wewe ni punguani kwenye masuala ya kidini.
Huwa hakuna kitu kinachoitwa 'mdahalo' kwenye masuala ya kidini. Kwenye dini kuna mihadhara au mahubiri.
Hilo gaidi linalosema kuwa "kila muidlam anatakiwa kuwa gaidi', lisiguse ardhi yetu.
Onesha sehemu yoyote aliyosema hayo maneno, hicho ndio kipaji chenu wakristo wa JF kusingizia watu
According to James 3:15-16, the practice of slander is demonic. People who engage in slandering other people are being led by demons—not the Spirit of God
Sasa jiulize we ni mfuasi wa Mungu ama wa shetani kusingizia mtu kitu ambacho hajasema.
Mbona huyo zakir hatujamfahamu? Ebu muelezee vizuriDk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu
Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2
View attachment 3188750
Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel inayoitwa Peace TV Dk. Nakir anatafutwa na mamlaka za kisheria za nchi yake ya India kwa kutoa mahubiri yanayochochea ugaidi na chuki katika ya makundi tofauti ya Dini
Pia amepigwa marufuku kuingia nchi za Bangladesh, Sri Lanka, Uingereza Canada, na channel yake ya Peace Tv kupigwa marufuku kuonyeshwa na Tv yoyote kutokana na mahubiri yake kuonekana hayafai
Mojawapo ya kauli tata alizowahi kunukuliwa Dk. Zakir Naik ni pamoja na
"Kama bin Laden anapigana na maadui wa Uislamu, mimi namuunga mkono. Ikiwa anaitisha Marekani—gaidi mkubwa zaidi kuliko wote—mimi niko pamoja naye. Kila Muislamu anapaswa kuwa gaidi."
Dk.Nakir pia anatajwa kuwa mahubiri yake yalichochea shambulio la kigaidi lililotokea Sri Lanka mwaka 2019 siku ya pasaka, na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Dhaka mwaka Bangladesh mwaka 2016
Michezo ya kitoto kabisaNa Hawa wamefundishwa na marekani
View attachment 3188743
View: https://youtu.be/Bxk5AAA5FbI?si=kGFRQ0NiAxJKd5Nj
Namnukuu maneno anayoongea kwenye video. “If bin Laden is fighting enemies of Islam, I am for him. If he is terrorizing America—the terrorist, biggest terrorist—I am with him. Every Muslim should be a terrorist. The thing is that if he is terrorizing the terrorist, he is following Islam
Hii si ndiyo kazi ya usalama wa Taifa au mimi ni mgeni hapa sijui?Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu
Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2
View attachment 3188750
Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel inayoitwa Peace TV Dk. Nakir anatafutwa na mamlaka za kisheria za nchi yake ya India kwa kutoa mahubiri yanayochochea ugaidi na chuki katika ya makundi tofauti ya Dini
Pia amepigwa marufuku kuingia nchi za Bangladesh, Sri Lanka, Uingereza Canada, na channel yake ya Peace Tv kupigwa marufuku kuonyeshwa na Tv yoyote kutokana na mahubiri yake kuonekana hayafai
Mojawapo ya kauli tata alizowahi kunukuliwa Dk. Zakir Naik ni pamoja na
"Kama bin Laden anapigana na maadui wa Uislamu, mimi namuunga mkono. Ikiwa anaitisha Marekani—gaidi mkubwa zaidi kuliko wote—mimi niko pamoja naye. Kila Muislamu anapaswa kuwa gaidi."
Dk.Nakir pia anatajwa kuwa mahubiri yake yalichochea shambulio la kigaidi lililotokea Sri Lanka mwaka 2019 siku ya pasaka, na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Dhaka mwaka Bangladesh mwaka 2016
Ungekuwa unaelewa ungekaa kimya Islam ni heresy na occoult kqa ujumla qake. Dini dininpekee inayovua hadi chupi kwenye ibada zingine,. Ndio dini pekee ambayo Jin wanaabudu nayo na kusaliwa mwanza wa ibada yao. Dini pekee ambayo kwa mwili watu humrushia mawe shetani kila mwaka lkn hakuna taarifa ya kujeruhiwa kwake. Acheni mambo ya Jesus Vs Mohmad. Hubiri ya kwako . Hii kama wameipenda aruhusu watu wajibu hoja zake atakazoleta .Mkuu usitangulize chuki na uongo huyu jamaa anapendwa sanaa na nchi nyingi kwa njia yake ya mahubili ya dialogue na debate, wiki ilio pita alikua Uganada na Kenya India hamtafuti ila tu hawataki mahubiri yake kwasababu anubisha sanaa dini yao ya Hindu kwa debates zake za dini
Wakuristo wengi hampendi kqasababu hawana hoja za debate yule ni mziki mnene kwa mbumbu wa kikuristo wa Tanzania wanao fuata dini yao bila facts na logic
Hivi unajuwa chochote kuhusu huyu mtu Dr. Zakir, wewe unafikiri anawindwa kwa jailli gani? Huyu jamaa ilibidii asipewe visa ya kuja Tanzania kama tunataka amani, subirini kuona vijana wa Kiislam wakiongezeka kujiunga na Makundi ya ugaidi baada ya yeye kuondka hapa nchini.Kwa hiyo ana kuja kuchochea chuki?
Hapa kuna ubalozi wa India kwanini wasifanye yao wakamrejesha kwao huyu gaidi???Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu