Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu

Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2

FB_IMG_1735577730442.jpg

Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel inayoitwa Peace TV Dk. Nakir anatafutwa na mamlaka za kisheria za nchi yake ya India kwa kutoa mahubiri yanayochochea ugaidi na chuki katika ya makundi tofauti ya Dini

Pia amepigwa marufuku kuingia nchi za Bangladesh, Sri Lanka, Uingereza Canada, na channel yake ya Peace Tv kupigwa marufuku kuonyeshwa na Tv yoyote kutokana na mahubiri yake kuonekana hayafai

Mojawapo ya kauli tata alizowahi kunukuliwa Dk. Zakir Naik ni pamoja na
"Kama bin Laden anapigana na maadui wa Uislamu, mimi namuunga mkono. Ikiwa anaitisha Marekani—gaidi mkubwa zaidi kuliko wote—mimi niko pamoja naye. Kila Muislamu anapaswa kuwa gaidi."

Dk.Nakir pia anatajwa kuwa mahubiri yake yalichochea shambulio la kigaidi lililotokea Sri Lanka mwaka 2019 siku ya pasaka, na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Dhaka mwaka Bangladesh mwaka 2016
 
Huyu ni GAIDI ,Anatakiwa akamatwe apakiwe kwenye ndege akakabidhiwe kwa Serikali ya India

ila kwakuwa nchi hii Ina udini ataachwa abwabwaje na kueneza UGAIDI nchini,

Matokeo ya mbegu za UGAIDI anazopanda zitaonekana baadae
 
Nashindwa kuelewa alialikwa na nani kuja hapa nchini? Huyu Jamaa hana akili kabisa ni sawa na Waislam walio wengi, anaongeleaga vitu asivyo na uhakika navyo, yaani ni mtu wa mihemko tu.
Kuna preacher wangapi wakristo wanakuja Nchi hii? Ushawahi sikia waisilamu wakikataa wasije? Why mnaogopa midahalo?
 
Huyu ni GAIDI ,Anatakiwa akamatwe apakiwe kwenye ndege akakabidhiwe kwa Serikali ya India

ila kwakuwa nchi hii Ina udini ataachwa abwabwaje na kueneza UGAIDI nchini,

Matokeo ya mbegu za UGAIDI anazopanda zitaonekana baadae
Kina Bush, Obama na watu kibao wanakuja na damu ya mamilioni ya watu ila kimyaa, mtu ambaye hata kisu kukishika pengine hajui kukishika vizuri, aliye dedicate maisha yake yote kwenye Elimu unamuogopa na kumuona Gaidi.
 
Osama ugaidi alifundishwa na Marekani Baada ya kufuzu mafunzo ya Kigaidi walimtumia kufanya ugaidi Urusi ugaidi wa Osama una mchango mkubwa katika kuivunja vunja Urusi

Hivyo chuo Cha kusomea ugaidi kipo Marekani
 
Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu
Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu
Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2

Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel inayoitwa Peace TV
Dk. Nakir anatafutwa na mamlaka za kisheria za nchi yake ya India kwa kutoa mahubiri yanayochochea ugaidi na chuki katika ya makundi tofauti ya Dini

Pia amepigwa marufuku kuingia nchi za Malaysia, Sri Lanka, Uingereza Canada, na channel yake ya Peace Tv kupigwa marufuku kuonyeshwa na Tv yoyote kutokana na mahubiri yake kuonekana hayafai

Mojawapo ya kauli tata alizowahi kunukuliwa Dk. Zakir Naik ni pamoja na
"Kama bin Laden anapigana na maadui wa Uislamu, mimi namuunga mkono. Ikiwa anaitisha Marekani—gaidi mkubwa zaidi kuliko wote—mimi niko pamoja naye. Kila Muislamu anapaswa kuwa gaidi."
Dk.Nakir pia anatajwa kuwa mahubiri yake yalichochea shambulio la kigaidi lililotokea Sri Lanka mwaka 2019 siku ya pasaka, na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Dhaka mwaka Bangladesh mwaka 2016
Mkuu usitangulize chuki na uongo huyu jamaa anapendwa sanaa na nchi nyingi kwa njia yake ya mahubili ya dialogue na debate, wiki ilio pita alikua Uganada na Kenya India hamtafuti ila tu hawataki mahubiri yake kwasababu anubisha sanaa dini yao ya Hindu kwa debates zake za dini
Wakuristo wengi hampendi kqasababu hawana hoja za debate yule ni mziki mnene kwa mbumbu wa kikuristo wa Tanzania wanao fuata dini yao bila facts na logic
 
Kina Bush, Obama na watu kibao wanakuja na damu ya mamilioni ya watu ila kimyaa, mtu ambaye hata kisu kukishika pengine hajui kukishika vizuri, aliye dedicate maisha yake yote kwenye Elimu unamuogopa na kumuona Gaidi.
Huyu ni Gaidi hakuna kupepesa macho

Huyu ni Gaidi apingwe na kila mpenda amani
 
Amekatazwa kuingia nchi Malaysia alafu wakati huo ana ishi nchini Malaysia?
Acha kukurupuka.
 
Osama ugaidi alifundishwa na Marekani Baada ya kufuzu mafunzo ya Kigaidi walimtumia kufanya ugaidi Urusi ugaidi wa Osama una mchango mkubwa katika kuivunja vunja Urusi

Hivyo chuo Cha kusomea ugaidi kipo Marekani
Magaidi wanajulikana duniani ni WA Imani Gani hivyo huwezi kudanganya mtu uzuri magaidi huwa wanavizia matukio sababu hawana ubavu
 
Back
Top Bottom