the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 216
kunatofauti gani Kati ya usiabudu sanamu na usiabudu miungu wengine....afu mbaya zaidi hicho inachokisema kwenye masomo ya misa ndio kinasomwa.....kanisa halijaondoa kitu chochote ila shida ni kuwa mnasikia kwa akina AOORON then mnabeba pasipo kuchunguza1-Kutoka 20:4 usiabudu sanamu,kanisa limeiondoa
2-kutoka 20:8 itakase sabato ya siku ya saba.Kanisa limebadili kutoka siku ya saba kwenda ya kwanza.Sema lingine
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Nakuona nakuona.Wafe milele yote
Mmezoea kusome kamstari kamojaNimeky
Nimekuambia lete hiyo amri ya pili unayoijua wewe....
Fananisha Amri za Biblia na katekisimukunatofauti gani Kati ya usiabudu sanamu na usiabudu miungu wengine....afu mbaya zaidi hicho inachokisema kwenye masomo ya misa ndio kinasomwa.....kanisa halijaondoa kitu chochote ila shida ni kuwa mnasikia kwa akina AOORON then mnabeba pasipo kuchunguza
NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Yote hiyo ni amri moja....USIWE NA MIUNGU MINGINEUsiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu
Hii iliwahusu wa-Ebrania...Wewe ni Muebrania...???10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
Huu ndo ulevi wa mvinyo wa kahaba mkuu unaosemwa katika ufunuo. Tangu lini papa akawa badala ya Petro? Mara papa aitwe mbadala wa Kristo, leo mnakuja na kufuru nyingine eti papa anbaye ni mpinga kristo, kiti chake kimejaa damu ( rejea mada niliotoa hapa kabla) eti huyi ndiye badala ya Petro. Kweli Roma kuna vioja!tatizo la uelewa na uchambuzi wa maandiko ni shida...na alikuambia WAKATORIKI tunasujudi huyo mnyama uko wrong na elewa hili kuanzia leo na kuendelea.....pope ni cheo cha kiongozi wa kiroho makanisa ya kikatoliki Dunia sasa kama pope aliyepo vatikani ni Mnyama badili sahihisha hilo na pope anasimama badala ya PETRO mmoja wa mitume 12 wa Yesu Kristu ambacho hicho cheo ni kutoka kwa Yesu Kristu mwenye alipomuambia kuwa huyu ndio PETRO Mwamba na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, Mathoyo 12:12Hii iliwahusu wa-Ebrania...Wewe ni Muebrania...???
Hivyo unampinga hata Petro ambaye ndiye Papa w Kwanza...???Huu ndo ulevi wa mvinyo wa kahaba mkuu unaosemwa katika ufunuo. Tangu lini papa akawa badala ya Petro? Mara papa aitwe mbadala wa Kristo, leo mnakuja na kufuru nyingine eti papa anbaye ni mpinga kristo, kiti chake kimejaa damu ( rejea mada niliotoa hapa kabla) eti huyi ndiye badala ya Petro. Kweli Roma kuna vioja!
Malizia hapoSabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, Mathoyo 12:12
Wewe ni NGURUWE?
YHWH IS GOOD
Ilete Mtumishi wa Bwana. Hawa waabudu sanamu wamebanwa kila kona hawana pa kutokea. Tumawaambia waache kuabudu wafu hawataki.Mbona wewe muamudu sanamu unawashwa hivo, unaanzisha thread baada ya huku kubanwa
Eti unanialika.
Subiri soon nashusha mvua ya uchafu wa Roma
YHWH IS GOOD
Inahaririwa...Ilete Mtumishi wa Bwana. Hawa waabudu sanamu wamebanwa kila kona hawana pa kutokea. Tumawaambia waache kuabudu wafu hawataki.
Papa ni cheo cha damu. Petro aliwapinga warumi waliompa papa madaraka. Petro ni Mtume wa Yesu acheni kumshushia hadhiHivyo unampinga hata Petro ambaye ndiye Papa w Kwanza...???
Mods wabahariri uzi wa Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen Gould White....
Tumechambua vilivyo
YESU KASEMA ILIFANYIKA KWA AJIRI YA MWANADAMUMalizia hapo
" Na Si Mwanadamu kwa Ajili ya Sabato"
Unashika Sabato wewe ni Muebrania...???
Bwana yupi eti...??? Au Bwana Nabii Mke Ellen G White maana yule kahaba mnamsujudis kweli kweliIlete Mtumishi wa Bwana. Hawa waabudu sanamu wamebanwa kila kona hawana pa kutokea. Tumawaambia waache kuabudu wafu hawataki.
Na si Mwanadamu kwa ajili ya kuitumikia Sabato..YESU KASEMA ILIFANYIKA KWA AJIRI YA MWANADAMU
Wewe ni nguruwe?
YHWH IS GOOD
NaziandaaIlete Mtumishi wa Bwana. Hawa waabudu sanamu wamebanwa kila kona hawana pa kutokea. Tumawaambia waache kuabudu wafu hawataki.
Yes! Ni mtume wa Yesu aliachiwa Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume....Baba Mt wa Kwanza, Papa wa Kwanza...Papa ni cheo cha damu. Petro aliwapinga warumi waliompa papa madaraka. Petro ni Mtume wa Yesu acheni kumshushia hadhi
Nikakaa nikamuona ni mbishi asiye na hoja, yupo kutetea ujinga na kutoa povu juu ya EGW,
Sasa mwaka huu hapa ataelewa