Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

1-Kutoka 20:4 usiabudu sanamu,kanisa limeiondoa
2-kutoka 20:8 itakase sabato ya siku ya saba.Kanisa limebadili kutoka siku ya saba kwenda ya kwanza.Sema lingine

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
kunatofauti gani Kati ya usiabudu sanamu na usiabudu miungu wengine....afu mbaya zaidi hicho inachokisema kwenye masomo ya misa ndio kinasomwa.....kanisa halijaondoa kitu chochote ila shida ni kuwa mnasikia kwa akina AOORON then mnabeba pasipo kuchunguza

NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Nimeky

Nimekuambia lete hiyo amri ya pili unayoijua wewe....
Mmezoea kusome kamstari kamoja

Haya AMRI ZA MUNGU HIZI HAPA

KUTOKA 20

3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.

4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.

7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.

8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.

9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;

10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.

11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.

12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.

13 Usiue.

14 Usizini.

15 Usiibe.

16 Usimshuhudie jirani yako uongo.

17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

YHWH IS GOOD
 
kunatofauti gani Kati ya usiabudu sanamu na usiabudu miungu wengine....afu mbaya zaidi hicho inachokisema kwenye masomo ya misa ndio kinasomwa.....kanisa halijaondoa kitu chochote ila shida ni kuwa mnasikia kwa akina AOORON then mnabeba pasipo kuchunguza

NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Fananisha Amri za Biblia na katekisimu

Kuna tofauti kubwa sana

KUTOKA 20. AMRI HIZI HAPA

3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.

4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.

7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.

8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.

9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;

10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.

11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.

12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.

13 Usiue.

14 Usizini.

15 Usiibe.

16 Usimshuhudie jirani yako uongo.

17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

YHWH IS GOOD
 
Usiwe na miungu mingine ila mimi.

4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.

5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu
Yote hiyo ni amri moja....USIWE NA MIUNGU MINGINE
 
10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
Hii iliwahusu wa-Ebrania...Wewe ni Muebrania...???
 
tatizo la uelewa na uchambuzi wa maandiko ni shida...na alikuambia WAKATORIKI tunasujudi huyo mnyama uko wrong na elewa hili kuanzia leo na kuendelea.....pope ni cheo cha kiongozi wa kiroho makanisa ya kikatoliki Dunia sasa kama pope aliyepo vatikani ni Mnyama badili sahihisha hilo na pope anasimama badala ya PETRO mmoja wa mitume 12 wa Yesu Kristu ambacho hicho cheo ni kutoka kwa Yesu Kristu mwenye alipomuambia kuwa huyu ndio PETRO Mwamba na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Huu ndo ulevi wa mvinyo wa kahaba mkuu unaosemwa katika ufunuo. Tangu lini papa akawa badala ya Petro? Mara papa aitwe mbadala wa Kristo, leo mnakuja na kufuru nyingine eti papa anbaye ni mpinga kristo, kiti chake kimejaa damu ( rejea mada niliotoa hapa kabla) eti huyi ndiye badala ya Petro. Kweli Roma kuna vioja!
 
Hivyo unampinga hata Petro ambaye ndiye Papa w Kwanza...???

Mods wabahariri uzi wa Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen Gould White....

Tumechambua vilivyo
 
Mbona wewe muamudu sanamu unawashwa hivo, unaanzisha thread baada ya huku kubanwa

Eti unanialika.

Subiri soon nashusha mvua ya uchafu wa Roma

YHWH IS GOOD
Ilete Mtumishi wa Bwana. Hawa waabudu sanamu wamebanwa kila kona hawana pa kutokea. Tumawaambia waache kuabudu wafu hawataki.
 
Hivyo unampinga hata Petro ambaye ndiye Papa w Kwanza...???

Mods wabahariri uzi wa Kahaba Mkuu Nabii Mke Ellen Gould White....

Tumechambua vilivyo
Papa ni cheo cha damu. Petro aliwapinga warumi waliompa papa madaraka. Petro ni Mtume wa Yesu acheni kumshushia hadhi
 
Ilete Mtumishi wa Bwana. Hawa waabudu sanamu wamebanwa kila kona hawana pa kutokea. Tumawaambia waache kuabudu wafu hawataki.
Bwana yupi eti...??? Au Bwana Nabii Mke Ellen G White maana yule kahaba mnamsujudis kweli kweli
 
YESU KASEMA ILIFANYIKA KWA AJIRI YA MWANADAMU

Wewe ni nguruwe?

YHWH IS GOOD
Na si Mwanadamu kwa ajili ya kuitumikia Sabato..

Ilifanyika kwa mwanadamu ili kukumbuka kutolewa Utumwani Misri...

We kenge ni lini ulitolewa Misri..??
 
Ilete Mtumishi wa Bwana. Hawa waabudu sanamu wamebanwa kila kona hawana pa kutokea. Tumawaambia waache kuabudu wafu hawataki.
Naziandaa

Ujue nimeanza kufatilia mijadala humu toka mwaka 2011 nadhani kule jukwaa la dini/imani niliona mlivyomfundisha huyo jamaa , hanaga hoja,

Nikakaa nikamuona ni mbishi asiye na hoja, yupo kutetea ujinga na kutoa povu juu ya EGW,

Sasa mwaka huu hapa ataelewa

YHWH IS GOOD
 
Papa ni cheo cha damu. Petro aliwapinga warumi waliompa papa madaraka. Petro ni Mtume wa Yesu acheni kumshushia hadhi
Yes! Ni mtume wa Yesu aliachiwa Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume....Baba Mt wa Kwanza, Papa wa Kwanza...

Vipi umeghafilika...??? Nipo
 
Eti PETRO alikuwa papa

Kwi kwi kwiiiii

PETRO HUYU ALIYEOA ?

MAPAPA HAWA SIHAWARUHUSIWI HATA KUOA?

PETRO ALIYEULIWA NA WARUMI LEO MNADANGANYWA ALIKUWA ETI NI PAPA?

YHWH IS GOOD
 
Nikakaa nikamuona ni mbishi asiye na hoja, yupo kutetea ujinga na kutoa povu juu ya EGW,

Sasa mwaka huu hapa ataelewa

Mimi nipo...nakuuliza....Unashika Sabato wewe ni Muebrania...??

Kahaba Mwenyewe EGW hakushika Sabato...sasa wewe kenge unashika ni Muebrania
 
Back
Top Bottom