Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Wewe si mkatoliki, kwa namna ulivyoandika unajionyesha ww si mkatoliki mbali ni mnafiki na mchonganishi
 
Ngoja nikuache mkuu. Ila tu tambua kuwa hapa JF kuna watu wa kila aina. Unapo-copy na ku-paste habari basi uwe tayari kuitetea hasa kama umeitoa kwenye source yenye mauzauza na isiyo na hadhi ya kuchangia lolote kuhusu mada husika. Happy New Year !
Kuwa na mauzauza ni mtazamo wako binafsi, usitake kumuaminisha kwa lazima kila mtu unachoamini wewe. Anyway , sikutegemea kuungwa mkono na kila mtu.


Kwa mtu aliyetulia akasoma mada kwa umakini lazima ameona utofauti wa hoja katika mada kuu na article niliyoleta mimi.

Kwa heri.
 

Nimejaribu kuchunguza kwa wiki hii tu, kuna mada za kuponda kanisa katoliki nyingi tu nikajiuliza kwa nini....

Baadae nikaona picha za misa za mheshimiwa ambae ameonekana anahudhuria vizuri sana kanisani kila anapoenda. Nikapata jibu ni kwamba watu wameacha kumsema kisiasa, sasa wanahamia kwenye udhehebu.
 
Wewe si mkatoliki, kwa namna ulivyoandika unajionyesha ww si mkatoliki mbali ni mnafiki na mchonganishi
Babu usibishe mimi ndiye ninayejua kuwa ni mkatoliki sasa sijui ukibisha inasaidia nini.
Kama ni mafundisho nimesoma
nimekunika na nimepokea kipaimara na sema labda kutumikia ndio sikuwahi kutumikia sankristi mkuu.
 
Miaka ya 1800,kipindi cha dark ages,papacy rules iliua sana watu,inasemekana ktk world history papacy ndio iliomwaga damu nyingi sana za watu,ilibidi wengine wakimbilie milimani kujificha.kahaba mkuu ni papa na alikua na nguvu na amri,nyakati hizi nguvu yake imepungua yupo kimya ila soon itarudi na ataitawala dunia.
 
Ila mm bado sjaelewa zaid uhusika wa RC katika ufunuo maana Kuna sehemu wengine wanampa uhusika tofauti na huu
 

Rudi SHULE uache ujinga. 1800 sio kipindi cha Dark Ages.

Na kipindi cha Dark Ages ndio kipindi ambacho watu walikua wanamtafuta sana mungu huko ulaya, kwa sababu ni kipindi ambacho watu waliumwa sana magonjwa na kulikua sana na vita ktk kugombea maeneo.Kuna vitabu na vitabu vinavyoelezea hivyo, mgonjwa kama bubonic plagues na kadhalika.

Badala Ya kumaliza mb zako kusema uongo, Jaribu kutumia Hizo mb Kusoma facts kabla hujaja humu.Utasaidia sana kupunguza ujinga.
 
Kuna ukweli hapa...Hebu ngoja nifuatilie
 
Kuna list yangu ya Wasabato naiandaa...

Nitakuwa nawa-tag nikianzisha mada za bibi yetu Ellen ili mje tubadilishane mawazo
badala ya kuandaa list ya maovu yako na kuyaungama upate ufalme wa Mbingu,unahangaika kuandaa listi ya Wasabato watu ambao ni Mboni ya jicho la Mungu duniani
 
Kwa sababu ukatoliki ndio uliozungumziwa zaidi katika nabii mbali mbali za biblia ikiwemo kitabu cha Daniel na ufunuo kwamba itahusika kuwapeleka wengi motoni ikiwemo upigaji chapa 666 hivyo lengo ni kukuasa ndugu ktk kristo utoke ndani ya uasi huo ili usikumbwa na ghadhabu ya Mungu maana itawafanya wote wakubwa kwa wadogo, maskini, matajiri, wafungwa n.k kupigwa chapa hiyo
 
Challenge with facts!..na sio unakimbilia kudai bando zimefanyaje,bando ikiwa ni shida kwako si kwa wote ni tatizo
 
Mpinga kristo ni papa!...saiv ametulia ila soon ataibuka na kulazimisha dunia nzima kutumia namba 666 na ana wafuasi wengi sio mchezo.

He wll deceive many!..
 
Challenge with facts!..na sio unakimbilia kudai bando zimefanyaje,bando ikiwa ni shida kwako si kwa wote ni tatizo

Umetoa fact zipi hapa? Yaani watu kama wewe wanasikitisha sana. Sikiliza sikulazimishi wewe kuikana Dini au dhehebu lakini rafiki jaribu kupata Elimu Ya ziada kuhusu Dini yako na dhehebu.

Huoni aibu unaposema 1800 ni Dark ages???..kweli?????..huu ni ujinga wa hali Ya Juu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…