Heb anzisheni thread special ant catholic au against catholic maana mmezidi kila kila catholic tu, kuna makanisa ya yanafungisha ndoa ya jinsia moja kanisani, kuna cults watu wanauana. Yote mnayaacha mnakimbilia kwa R.C ambacho nakiona huenda kila anayeanzisha kanisa analenga kupata waumini kutoka rc kwan ndipi kuna waumini wengi hivyo lazma uwaponde. Sasa hawa waumini wa makanisa hayo wanakopi utamaduni huo bila kujua chanzo. Kanisa linafundisha amani, upendo nk lina shida Gan? By the way hakuna atakayeenda mbinguni sababu yeye ni dini Fulani, wapo waislamu wataingia, wabudha wataingia, rc na lutheri kila mtu kutokana na matendo yake. Kama unadhani mbinguni utakwenda jehova witness peke yenu sababu hamruhusu kuongezewa damu utakua mjinga wa mwisho na Kama utadhani mbinguni utakwenda kwa kusali jumamosi na ni mjinga vile vile.