Mfahamu 'Kamchape' mkamata wachawi na shughuli zake kwa ujumla kutokea hapa Mkoani Kigoma

Wachawi Wana nguvu wapo hapo ngazi ya kitaifa Serikali unaweza kuta DC ni mchawi anazuia kwa kigezo Cha uvunjifu wa amani lakin hamaanishi Hicho,Bali anaepusha wenzake kuumbuka.
Wachawi uanzia level ya mwenyekiti wa mtaa,kata,tarafa hivo hivyo hadi level za mkuu wa nchi kama raisi akiwakilisha nchi kwenye mikutano ya wachawi Africa au Duniani.
 
Huku kwetu ni sherehe wakuu hati shule zinafungwa
 
Bongo tupo nyuma sana

Hayo mambo yamefanyika ulaya na America karne za 15, 16, 17 na wakagundua uchawi haupo ni hadithi za kufikirika hivyo wakaachana nayo.

Sisi tunafanya karne ya 21 tena kwenye information era.

Maskini na wajinga ndio wanaamini huo upuuzi
 
We utakuwa mchawi tena wa level ya lll
 
Safi sana
Lakini wachawi wa jf watapinga uwepo wa uchawi
 
Serikali imkamate na kumfungulia mashitaka kwa kuleta taharuki kwa wananchi. Hana uwezo wa kubaini wachawi zaidi yeye ndiye mchawi. Anachofanya ni mazingambwe kuhadaa wananchi wajinga wasio na elimu. Ni upuuzi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…