Mfahamu 'Kamchape' mkamata wachawi na shughuli zake kwa ujumla kutokea hapa Mkoani Kigoma

Utuchawie tukuache? Sisi yesu au? Acheni wanga ase
 
Jidanganye,,,, amin hayo yanayosemwa yapo unapinga kwa misingi ipi kwanza!
 
Shetani hawezi kumtoa shetani mwenzake. Mungu awape kuona njia ya kumlilia awaangamize wachawi. Hapo shetani anapita anachukua sadaka zenu, maana mmejiunga nae kwa sadaka. Kumbuka Mungu alitembelea mji akasema niitieni watakatifu wangu walio fanya agano nami kwa dhabihu. Epuka mno kujikabidhi kwa shetani.
 
Mi siwaamini hao akina kamchape,nahisi hivyo vitu vinavyosemwa vinakutwa kwa mchawi,huingizwa na wao wenyewe akina kamchape wakisaidiana na wasaidizi wao,halafu wanasingizia kua tumevikuta kwa mchawi.Ni uongo....
 
Boss niunganishe na huyu jamaa tafadhali
 
Utakuwa ni miongoni mwao mbona una watetea

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kazi hatari sana. Mbona mafunzo yake ni ya muda mfupi sana?! Yaani chini ya mwezi mmoja! Huku mtaani tunaona watu wanakaa kwa waganganga miaka na miaka wakijifuanza uganga. Hii imekaaje!!.
 
Kazi hatari sana. Mbona mafunzo yake ni ya muda mfupi sana?! Yaani chini ya mwezi mmoja! Huku mtaani tunaona watu wanakaa kwa waganganga miaka na miaka wakijifuanza uganga. Hii imekaaje!!.
Kozi ni ya muda mfupi ila unaweza usimalize, na ukimaliza unaweza ukawa bado haujaiva vizuri hadi upate uzoefu wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…