Dr. Jane Chacha Nyamsenda (PhD) mtaalamu aliyefanya tafiti za tungo za ushujaa katika shujaa
Thesis: Nyamsenda, Jane Chacha (2015) Ushujaa wa Shujaa wa Motifu za Safari na Msako Katika Ngano za Waikizu, Wabondei na Wazanzibari. ["eprint_fieldopt_thesis_type_phd" not defined] thesis, The Open University Of Tanzania. Subject(s): Dhana ya Ushujaa | Ngano za Waikizu, wabondei na Wazanzibar-Tanzania | Dhana ya Ushujaa wa Shujaa-Tanzania UTHIBITISHO WA WASIMAMIZI wamethibitisha ya kwamba wameisoma tasnifu hii iitwayo Ushujaa wa Shujaa wa Motifu za Safari na Msako katika Ngano za Waikizu, Wabondei na Wazanzibari na wameridhika kwamba tasnifu hii imefikia kiwango kinachotakiwa na inafaa kuhudhurishwa kwa utahini wa Shahada ya Falsafa ya Udaktari PhD Kiswahili ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dar es Salaam
TASNIFU YA SHAHADA YA UZAMIVU (PhD) KISWAHILI KITIVO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII, YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA 2015